Baada ya Kenya kukosa pesa za kujenga reli sasa Uganda inakuja kivingine

M

Maneno mengi sipendi,time will tell,,nimeshatoa mfano hai wa Tazara sgr ilivyo tembo mweupe,sasa unajifariji na sgr ya umeme,eti unataka tuamini kwamba Tazara imefeli kisa sio electric,let us wait hiyo 25% deposits
Kwanza TAZARA sio SGR, pili lengo la kujengwa TAZARA lilikuwa ni kuitoa Zambia kutegemea bandari za South Africa wakati ule wa ukombozi wa kusini mwa Africa, pia kusaidia ukombozi wa nchi hizo kwa kusafirisha silaha na askari toka Tanzania na kuingia katika nchi husika, malengo yote hayo yalifanikiwa, hadi leo kiwango kikubwa cha shaba ya Zambia inasafirishwa kupitia reli hiyo, labda wewe utuambie matarajio yako yalikuwa ni nini juu ya TARAZA?, lakini imeshatimiza malengo yaliyokusudiwa, sasa hivi inabadilishwa kuwa ya kibiashara zaidi.
 
Tanzanian’s will not be a bullet train, rather it will go at an average speed of 160km//h. The same speed was reached in 1934 by a steam train in UK known as the Mallard, acha urongo kama mungu wenu!!!
What is a bullet train?, ni vitu gani muhimu vikikosekana inakuwa sio bullet train?, only high speed really?,
 
Profit sio sawa na Ku operate at full capacity,imepata hasara na faida toka lini? Je tokea imeanza kazi imesharudisha pesa ya investment?
Kama sio sgr ni nn basi?
Acha kujiaibisha humu jamvini, TAZARA haikujengwa kwa mkopo na haikuwa na deni, jaribu kusoma historia ya hiyo reli, hiyo ni cape gauge sio SGR
 
Acha kujiaibisha humu jamvini, TAZARA haikujengwa kwa mkopo na haikuwa na deni, jaribu kusoma historia ya hiyo reli, hiyo ni cape gauge sio SGR
Wewe ndo hueleweki,nani kazungumzia kuwa Tazara ilijengwa kwa mkopo,jibu swali Tazara imerejesha pesa iliyotumika kuijenga?
 
Wewe ndo hueleweki,nani kazungumzia kuwa Tazara ilijengwa kwa mkopo,jibu swali Tazara imerejesha pesa iliyotumika kuijenga?
Kurudisha kwa nani sasa, kama hapakuwa na pesa ya kurudishwa hili swali lina maana gani?, utajuaje kama imerudisha au hapana wakati hapakuwa na deni?, jielimishe kuhusu Tazara kwanza, acha kuropoka. Kwa mfano nikijibu ndiyo imerudisha, wewe utahakikisha vipi?
 
Reactions: Oii
Tena hata miaka 80s mizigo ya Zimbabwe ilikuwa inapita dar 100% kwasababu South Africa ya makaburu walikata kupokea mizigo ya serikali ya watawala weusi wa Zimbabwe. Hilo soko kwa mikajati mizuri linarudi.

Jamma unajibishana nae Mkenya ndio maana hajuwi kitu, anzuga tuu hapa.
 
Tutabanana hivyo hivyo
 
Hii itakuwa bomba sana, kila la kheri.
 
SGR yenu ilikwama eeeh? picha hivi ama vyuma vimekaza? JPM katoa only Tshs 290 billion($125 million) na hazitoshi mradi wa $1.2 b ama mtakopa Mchina?
Knowledge is power.
 
Very poor IQ this guy, yeye alitegemea tutajaza mapicha kama walivyokua wao, we are different man, huko kwenu ni kula nyama wengine wameze mate, HAPA KAZI TU
Wamelilia picha kwa muda mrefu sana lakini hiyo sio jadi yetu watanzania. Kitu ambacho hawakifiri ni jinsi Tanzanian sgr itakuwa cheap to run and maintain kuliko ya Kenya.
 
Hiyo sgr yenu mnayojenga kwa pesa ya ndani inatakiwa kurudishwa as return to investment au? Ndo maana mnafanya miradi ya bora liende coz hampigi cost-benefit analysis to investment
 
Acha kujiaibisha humu jamvini, TAZARA haikujengwa kwa mkopo na haikuwa na deni, jaribu kusoma historia ya hiyo reli, hiyo ni cape gauge sio SGR
Aibu,kwan return to investment lazima ihusishe pesa ya mkopo? Project za bora liende with no cost-benefit analysis eti itajipa mbele kwa mbele..na hiyo sgr mnayojenga ntakuja jibu kama hayo majibu ya Tazara kwamba pesa haikuwa ya mkopo,buree kabisa
 
Haya ni majibu ya kujifatiji baada ya kuona project hii ni tembo mweupe.
Didn't you approached the WB for funding,WB ilikataa baada kuona mradi sio commercial viable? Ndo ikabidi ujengwe kisiasa na mchina kuwashika masikio
 
Wachina wenyewe wametufuata wenyewe wamalizie kipande kilichobaki, feasibility study inafanyika mwaka huu ujenzi utaanza
 
Hahahaha,
Yaani Uganda watoe hela kujenga Reli ndani ya Kenya?
 
Hiyo sgr yenu mnayojenga kwa pesa ya ndani inatakiwa kurudishwa as return to investment au? Ndo maana mnafanya miradi ya bora liende coz hampigi cost-benefit analysis to investment
Wewe unamatatizo ya akili, sasa utajuaje kama imerudi au hapana? kama wewe umekopa pesa kwa mtu ni rahisi kwa watu wa nje kujua kama umemaliza kumlipa mdeni wako au bado anakudai, ila kama ni pesa yako binafsi ndiyo uliyotumia kuanzisha mradi, huwajibiki kwa mtu yeyote kmuambia kama pesa yako imerudi au hapana, na hata ukisema, hiyo taarifa hakuna jinsi ya kuweza kujua kama ni kweli au hapana, unaweza kusema lolote utakavyo kwasababu wewe ndiye mwanzo na mwisho.

kwa kifupi, umeuliza kama pesa iliyotumika imerudi au hapana, jibu ni kwamba ilirudi ndani ya miaka ishirini tu baada ya train kuanza kufanya kazi.

Hii reli lengo lake haikuwa kutengeneza faida wala kurudisha pesa, lengo lilikuwa ni ukombozi kusini mwa Africa, ndiyo sababu China wwlitujengea bure kama mchango wake katika juhudi hizo.
 
Haya ni majibu ya kujifatiji baada ya kuona project hii ni tembo mweupe.
Didn't you approached the WB for funding,WB ilikataa baada kuona mradi sio commercial viable? Ndo ikabidi ujengwe kisiasa na mchina kuwashika masikio
Wewe ni mpuuzi sana, wakoloni waliojenga miaka hiyo ya zamani ambako wala hapakuwa na biashara na watu wengi kama sasa unadhani hawakuwa na akili?, sasa hivi idadi ya watu na biashara imeongezeka zaidi ya mara 50 bado unasema hainafaida katika kipindi hiki kweli?, tena hiyo ya zamani haikuwa inaunganisha nchi za jirani, hii inayokwenda hadi nchi tatu za jirani kubeba abiria na mizigo ya Tanzania, Rwanda, Uganda, Burundi na DRC, unahisi haina faida, akili zako unazijua mwenyewe wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…