mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Jibu hoja wacha kutapatapa.Jijibu mwenye, wakenya wenzako watakusaidia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu hoja wacha kutapatapa.Jijibu mwenye, wakenya wenzako watakusaidia.
Hakuna hoja, ni upizi mtupu na kupozeana muda. Tazara SGR ....for real??? 2018??? Gosh.Jibu hoja wacha kutapatapa.
Kwanza TAZARA sio SGR, pili lengo la kujengwa TAZARA lilikuwa ni kuitoa Zambia kutegemea bandari za South Africa wakati ule wa ukombozi wa kusini mwa Africa, pia kusaidia ukombozi wa nchi hizo kwa kusafirisha silaha na askari toka Tanzania na kuingia katika nchi husika, malengo yote hayo yalifanikiwa, hadi leo kiwango kikubwa cha shaba ya Zambia inasafirishwa kupitia reli hiyo, labda wewe utuambie matarajio yako yalikuwa ni nini juu ya TARAZA?, lakini imeshatimiza malengo yaliyokusudiwa, sasa hivi inabadilishwa kuwa ya kibiashara zaidi.M
Maneno mengi sipendi,time will tell,,nimeshatoa mfano hai wa Tazara sgr ilivyo tembo mweupe,sasa unajifariji na sgr ya umeme,eti unataka tuamini kwamba Tazara imefeli kisa sio electric,let us wait hiyo 25% deposits
What is a bullet train?, ni vitu gani muhimu vikikosekana inakuwa sio bullet train?, only high speed really?,Tanzanian’s will not be a bullet train, rather it will go at an average speed of 160km//h. The same speed was reached in 1934 by a steam train in UK known as the Mallard, acha urongo kama mungu wenu!!!
Acha kujiaibisha humu jamvini, TAZARA haikujengwa kwa mkopo na haikuwa na deni, jaribu kusoma historia ya hiyo reli, hiyo ni cape gauge sio SGRProfit sio sawa na Ku operate at full capacity,imepata hasara na faida toka lini? Je tokea imeanza kazi imesharudisha pesa ya investment?
Kama sio sgr ni nn basi?
Wewe ndo hueleweki,nani kazungumzia kuwa Tazara ilijengwa kwa mkopo,jibu swali Tazara imerejesha pesa iliyotumika kuijenga?Acha kujiaibisha humu jamvini, TAZARA haikujengwa kwa mkopo na haikuwa na deni, jaribu kusoma historia ya hiyo reli, hiyo ni cape gauge sio SGR
Kurudisha kwa nani sasa, kama hapakuwa na pesa ya kurudishwa hili swali lina maana gani?, utajuaje kama imerudisha au hapana wakati hapakuwa na deni?, jielimishe kuhusu Tazara kwanza, acha kuropoka. Kwa mfano nikijibu ndiyo imerudisha, wewe utahakikisha vipi?Wewe ndo hueleweki,nani kazungumzia kuwa Tazara ilijengwa kwa mkopo,jibu swali Tazara imerejesha pesa iliyotumika kuijenga?
Tena hata miaka 80s mizigo ya Zimbabwe ilikuwa inapita dar 100% kwasababu South Africa ya makaburu walikata kupokea mizigo ya serikali ya watawala weusi wa Zimbabwe. Hilo soko kwa mikajati mizuri linarudi.Kwanza TAZARA sio SGR, pili lengo la kujengwa TAZARA lilikuwa ni kuitoa Zambia kutegemea bandari za South Africa wakati ule wa ukombozi wa kusini mwa Africa, pia kusaidia ukombozi wa nchi hizo kwa kusafirisha silaha na askari toka Tanzania na kuingia katika nchi husika, malengo yote hayo yalifanikiwa, hadi leo kiwango kikubwa cha shaba ya Zambia inasafirishwa kupitia reli hiyo, labda wewe utuambie matarajio yako yalikuwa ni nini juu ya TARAZA?, lakini imeshatimiza malengo yaliyokusudiwa, sasa hivi inabadilishwa kuwa ya kibiashara zaidi.
Tutabanana hivyo hivyomara nyengine mnafaa(wakenya) kuwaachia hawa watu (watanzania) wajifurahishe angalau walale wakifikiri wako salama alafu baadae kama miezi mwili hivi unawasuprize alafu wanabaki wakijikuna vichwa na kufura kiazi mdomoni...
Angalia vile wanakurupukwa kiholela, juzi wali order elecric locos alafuwanaazisha mada eti 'Tz overtakes Kenya a logistical hub" how now? based on what....... Watanzania ni watuu wa kufurahisha na mambo madogo madogo....
Anyway, niwapi taarifa kaema Kenya imekosa pesa?????? ..this is how it is> China inashuku Uganda's ability to repay backthe loan, one of the conditions that china gaveto Uganda is that Uganda lazima ipate written and signed guarantee kutoka Kenya kwamba tunapanga kujenga SGR hadi malaba n wala si hadi kisumu... Kenya imeshasign MOU na China kwa ujenzi wa reli hadi Kisumu lakini Kenya haija apply chochote kuhusu Kisumu-Malaba na wala haijafany matayarish yoyote ya ujenzi wa malaba ........ Hapo ndo watu wanafa kuijuliza maswali kwanini Kena haijajishughulisha ilihali inajua kwamba Uganda imepewa hio condition....
in any case, kukiwa na eventuality that Kenya isifikishe hiyo reli malaba, itafika Kisumu, na pale kisumu kunajengwa bandai jipya, Uganda wameamua urekebisha port bell pale lake victoria, ukilinganisha Mwanza na Kisumu, Kisumu iko karibu zaidi, mzigo ukitoka mwanza na mwengine utoke Kisumu, wa kisum utafika masaa matatu mapema zaidi.....
Hii itakuwa bomba sana, kila la kheri.This following article deserves its own thread once things start moving but or now, I will post it here..
Meanwhile, the great equitorial Land bridge is on course
![]()
January 3, 2018 (KHARTOUM)
Sudanese President Omar al-Bashir on Tuesday announced plans to build a railway system linking Sudan to Ethiopia and South Sudan.
"We will connect [Sudan’s] railway lines to Ethiopia," al-Bashir said while inaugurating a new train line linking capital Khartoum to the city of Wad Madani, the regional capital of Sudan’s central El Gezira State.
“We also seek to link our railway to South Sudan so that it might serve as a transit hub with Kenya and Uganda, thus facilitating the movement of people and goods to those countries," al-Bashir added.
He did not provide a date for the project’s completion.
Landlocked Ethiopia and South Sudan both depend on seaports in neighboring states -- such as Sudan, Djibouti, and Kenya -- to export goods abroad.
Sudan boasts an expansive railway system that already connects most of the country. After two decades of U.S. sanctions,
Sudan to link railway network to S. Sudan and Ethiopia - Sudan Tribune: Plural news and views on Sudan
Sudan unveils plan to link railway to Ethiopia, S.Sudan
Knowledge is power.SGR yenu ilikwama eeeh? picha hivi ama vyuma vimekaza? JPM katoa only Tshs 290 billion($125 million) na hazitoshi mradi wa $1.2 b ama mtakopa Mchina?
Very poor IQ this guy, yeye alitegemea tutajaza mapicha kama walivyokua wao, we are different man, huko kwenu ni kula nyama wengine wameze mate, HAPA KAZI TUKnowledge is power.
Wamelilia picha kwa muda mrefu sana lakini hiyo sio jadi yetu watanzania. Kitu ambacho hawakifiri ni jinsi Tanzanian sgr itakuwa cheap to run and maintain kuliko ya Kenya.Very poor IQ this guy, yeye alitegemea tutajaza mapicha kama walivyokua wao, we are different man, huko kwenu ni kula nyama wengine wameze mate, HAPA KAZI TU
Hiyo sgr yenu mnayojenga kwa pesa ya ndani inatakiwa kurudishwa as return to investment au? Ndo maana mnafanya miradi ya bora liende coz hampigi cost-benefit analysis to investmentKurudisha kwa nani sasa, kama hapakuwa na pesa ya kurudishwa hili swali lina maana gani?, utajuaje kama imerudisha au hapana wakati hapakuwa na deni?, jielimishe kuhusu Tazara kwanza, acha kuropoka. Kwa mfano nikijibu ndiyo imerudisha, wewe utahakikisha vipi?
Aibu,kwan return to investment lazima ihusishe pesa ya mkopo? Project za bora liende with no cost-benefit analysis eti itajipa mbele kwa mbele..na hiyo sgr mnayojenga ntakuja jibu kama hayo majibu ya Tazara kwamba pesa haikuwa ya mkopo,buree kabisaAcha kujiaibisha humu jamvini, TAZARA haikujengwa kwa mkopo na haikuwa na deni, jaribu kusoma historia ya hiyo reli, hiyo ni cape gauge sio SGR
Haya ni majibu ya kujifatiji baada ya kuona project hii ni tembo mweupe.Kwanza TAZARA sio SGR, pili lengo la kujengwa TAZARA lilikuwa ni kuitoa Zambia kutegemea bandari za South Africa wakati ule wa ukombozi wa kusini mwa Africa, pia kusaidia ukombozi wa nchi hizo kwa kusafirisha silaha na askari toka Tanzania na kuingia katika nchi husika, malengo yote hayo yalifanikiwa, hadi leo kiwango kikubwa cha shaba ya Zambia inasafirishwa kupitia reli hiyo, labda wewe utuambie matarajio yako yalikuwa ni nini juu ya TARAZA?, lakini imeshatimiza malengo yaliyokusudiwa, sasa hivi inabadilishwa kuwa ya kibiashara zaidi.
Wachina wenyewe wametufuata wenyewe wamalizie kipande kilichobaki, feasibility study inafanyika mwaka huu ujenzi utaanzaHaya ni majibu ya kujifatiji baada ya kuona project hii ni tembo mweupe.
Didn't you approached the WB for funding,WB ilikataa baada kuona mradi sio commercial viable? Ndo ikabidi ujengwe kisiasa na mchina kuwashika masikio
Hahahaha,Alafu tatizo lengine ni kwamba mjii mkuu wa mwisho kenya ni Kisumu, baada ya hapo hakuna mji mkuu mwengine, kuna zaidi ya Kilomita 130 kutoka kisumu hadi border ya malaba. That means Kenya itabidi kugaramia kama $1.3B kutoa reli from kisumu to malaba ili tu ikonect na reli ya Uganda. Uganda wange offer angalau kutoa pesa ili watukute katikati ya malaba na kisumu ndani ya kenya, lakini hao wanatungojea kwa border. Tukijenga hio reli badi malaba tutagaramia $1.3B extra ili Uganda ipate mizigo directly... Ni miaka mingapi ya ku charge transit fee itatuchukua ili kuregesha hio $1.3b ? I guess hizo ndo calculation zinafanywa sahii ili tuamue kama itakua faida tukijenga au tukikwamia kisumu. Ningependekeza Uganda igarimie angalau 35% ya ujenzi kutoka kisumu hadi malaba, hio section iwe joint ownership. Ug wakifanya hivyo itaregesha trust.. Sahii hakuna cha goodwill tena, fool me once.....
Wewe unamatatizo ya akili, sasa utajuaje kama imerudi au hapana? kama wewe umekopa pesa kwa mtu ni rahisi kwa watu wa nje kujua kama umemaliza kumlipa mdeni wako au bado anakudai, ila kama ni pesa yako binafsi ndiyo uliyotumia kuanzisha mradi, huwajibiki kwa mtu yeyote kmuambia kama pesa yako imerudi au hapana, na hata ukisema, hiyo taarifa hakuna jinsi ya kuweza kujua kama ni kweli au hapana, unaweza kusema lolote utakavyo kwasababu wewe ndiye mwanzo na mwisho.Hiyo sgr yenu mnayojenga kwa pesa ya ndani inatakiwa kurudishwa as return to investment au? Ndo maana mnafanya miradi ya bora liende coz hampigi cost-benefit analysis to investment
Wewe ni mpuuzi sana, wakoloni waliojenga miaka hiyo ya zamani ambako wala hapakuwa na biashara na watu wengi kama sasa unadhani hawakuwa na akili?, sasa hivi idadi ya watu na biashara imeongezeka zaidi ya mara 50 bado unasema hainafaida katika kipindi hiki kweli?, tena hiyo ya zamani haikuwa inaunganisha nchi za jirani, hii inayokwenda hadi nchi tatu za jirani kubeba abiria na mizigo ya Tanzania, Rwanda, Uganda, Burundi na DRC, unahisi haina faida, akili zako unazijua mwenyewe weweHaya ni majibu ya kujifatiji baada ya kuona project hii ni tembo mweupe.
Didn't you approached the WB for funding,WB ilikataa baada kuona mradi sio commercial viable? Ndo ikabidi ujengwe kisiasa na mchina kuwashika masikio