Baada ya Kenya kupiga marufuku LPG kutoka Tanzania, kuna kitu cha kujifunza kama Taifa

Viva Kenya,kila taifa liangalie maslahi yake.atakae zubaa ataisoma namba.
 
Elimu Elimu Elimu
Ona mtoa mada alivyowachota wajinga wenzake?
Wabongo kujifanya wajuaji kumbe mambumbumbu.. Ndio waliojazana kwenye uzi huu..! Vitu kama hujui si ukae kimya kuliko kujiona unajua kwa maana utashangiliwa na wajinga wenzako wengi ila wachache wanaojua watakuona Mbumbumbu.
Kukusaidia wewe na wajinga wenzako, ule Mkataba aliosaini mama ni wa NG(Natural Gas) ya Mtwara ambayo bado haijaanza kuzalishwa.
Kenya wamezuia LPG (Liquefied Petroleum Gas) ambayo haizalishwi Tanzania bali inakuwa imported from Crude oil refineries mostly from Middle Eastern Countries. Sababu za kuzuia ni kuwa na wao wataanza kuimport kutoka hukohuko tunaponunua sisi na kuwauzia wengine East Africa kama tunavyofanya sie sasa hivi, kwa kifupi watakuwa competitor wetu kwenye LPG kama ilivyo kwenye other Petroleum products (Diesel, Petrol, Kerosene..etc).
Watanzania muache kujifanya mnajua wakati ni Mambumbumbu kichwani.
Elimu Elimu Elimu
 
Usihalalishe tukio la kuchoma moto wanyama huo ni ushetani. Bora angetaifisha kuliko kuchoma
 
Ukiona..........anakushangilia jua kuna mahali unakosea! Hata wale wapiga kelele miaka sita mfululizo leo wote wako kimya wanalamba asali!
 
Aisee
 
Magufuli nilimchukia maeneo mengi, ila kwenye kipengele cha jino kwa jino dhidi ya hawa manyang'au! Hakika nilimuunga mkono.

Maana aliyanyoosha kisawasawa kwa kujibu mashambulizi, mpaka yaliufyata yenyewe.
 
Juzi tu mama yetu alisaini makubaliano tununue sukari kutoka Uganda lakini hakutwambia tutauza nini Uganda. Akaenda Rwanda kuifungua nchi lakini sijui tunauza nini huko. Kufumba na kufumbua macho Petro huyu hapa (siyo yule aliyemsaliti Yesu) kaja na royo tua na sasa ni full mapambio kwamba tayari watalii wamejazana ila Petro yuko analamba asali hata simu ya mama hapokei. Mpaka 2030 tutakuwa tumefanyiwa alichokisema Ndugai.
 
Mwaka jana mwezi wa tano mama yetu kipenzi alifunga safari kwenda huko kwa jirani kufuja pesa za umma kwa kisingizio cha kurudisha demokrasia na uhusiano wa biashara waliodhani uliharibiwa na mtangulizi wake.
kipindi cha magu hawa wakenya walikua wakileta chokochoko zako Anko ye analipiza mbona walisurrender but sahv hatuna kiongoz mwenye msimamo
 
Kiingereza kigumu andika kiswahili utaeleweka, sasa pop cones ndo nini?
 
Lete source kamili ya taarifa zako wewe ambaye sio mjuaji
 
Licha ya hayo yote,...kafwa.
 
Mgufuli amlani nani wakati yeye anamizigo yake na alikuwa msanii tu dhuluma wa mali za watu
Laana hiyo ikutafune wewe na ukoo wetu.
Magufuli hawezi kunilaani mimi yeye hakuwa mzazi wangu wala Mungu.
 
Kwa kweli tuvute tu popcon; maana maamuzi mengi sasa hivi yanafanywa kwa mihemuko
 
Kenyans are very smart people. They know how to separate politics & state. Ila sisi ujinga wetu wakutoa kila mtu CCM ndo unatufikisha huku.
Hii kweli kabisa na hili linadhirishwa na wanasiasa wao waliokimbia nchi hatukusikia wakizunguka dinia kuomba Kenya iwekewe vikwazo kama walivyofanya wachumis tumbo wa hapa kwetu.

Licha ya hilo inaonekana majasusi wao wa uchumi wako vizuri mno.
 
Magufuli nilimchukia maeneo mengi, ila kwenye kipengele cha jino kwa jino dhidi ya hawa manyang'au! Hakika nilimuunga mkono.

Maana aliyanyoosha kisawasawa kwa kujibu mashambulizi, mpaka yaliufyata yenyewe.
Kbsa hakujali hata maembe na nyanya ziliozeana pale horohoro jamaa aliwavimbia haswa Kenyan people are definitely undifine people
 
Nilipo sema kuna watu wakengeufu kwenye hili taifa nilimaanisha watu kama wewe. Na hili unalidhihirusha hapa kwa pumba ulizo andika.

Nikukumbushe kwamba hakuna mkataba wa LPG uliosainiwa kati ya TZ na Kenya kitu kilichosainiwa ni MoU

Sasa kama mnasaini MoU alafu mnarudi nyumbani kifua mbele kuwa mmesaini mkataba basi hii ni hasara kubwa kwa Taifa maana kuwa na mbumbumbu kama nyie.

Nikukumbushe tu kuwa MoU ni makubaliano tu ambayo yanaweza kutekelezwa ama yasitekelezwe. mbuzi wewe.

Mwisho nikushukuru kwa kukiri kuwa Kenya wamezuia gesi kutoka Tanzania.
 
Jumlisha na saikolojia za viongozi wetu wengi wanashindwa kung'amua ulaghai wakati wa mazungumzo na wenzao wa nje.
Tatizo unakuta mtu yuko kwenye mkutano huku anawaza atanufaika vipi na hapo ndipo umakini wao unapo potelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…