Nilipomsikia anasema anataka BOT waanze mchakato waku tengeneza system ya Bitcoin aka cryptocurrency for BOT. Ndipo nilipo kimbilia chooni nakusema Baba baba hivi nani tena katuloga kwani sisi Tz tumekukosa nini Baba. Mbona wenye hekima wamejifungia chooni na wenye nani ndio wapaza sauti. Yani nililia sana moyoni yani kwakweli nasali tu huku nikiimba kazi iyendelee dereva ameingia deleva yaniiiiii watu watajamba nakuchekea choo huku wakisikia kwa mbaliiiii taalaabuMwaka jana mwezi wa tano mama yetu kipenzi alifunga safari kwenda huko kwa jirani kufuja pesa za umma kwa kisingizio cha kurudisha demokrasia na uhusiano wa biashara waliodhani uliharibiwa na mtangulizi wake.
Moja ya vitu vilivyotumika kuonesha mafanikio ya ziara hiyo ni Ujenzi wa bomba la gesi kutoka TZ kwenda KE;
waimba mapambio walisikika kila kona ya nchi wakiwaaminisha watanzania kuwa safari ilikuwa na mafanikio kwani nchi hizo mbili zimesaini mkataba wa ujenzi wa bomba la gesi.
Baada ya ziara hiyo waimba mapambio walisikika wakisema kuwa ziara ilikuwa na mafanikio makubwa sana kwani nchi hizo mbili zimekubaliana kujenga bomba la mafuta lenye thamani ya dola bilioni 1.
kwa watu wasioelewa waliona tumeula kumbe kijana wa mjini kutoka +254 kamuingiza mkenge dada ake wa kambo😂😂😂.
Watu wenye upeo mkubwa wa uchambuzi wa mambo tulijua hapa tunepigwa lakini kutoka na nguvu kubwa ya waimba mapambio hakuna ambae angesena akaeleweka ila sasa kwa kuwa mda ni mwalimu nadhani wataelewa sasa baada ya Kenya kuzuia KPG ya Tanzania kuingia Kenya.
Baaghi ya sababu ya kuzuia gesi hiyo ya Tanzania kuingia huko ni kutaka kuteka soko la gesi la Africa Mashariki linaloshikiriwa na Tanzania.
Ili kutekeleza azma yao hiyo wameamya kuanza kujenga storage facility yao itakayoweza kutunza tani 25000 za LPG
mkandarasi kutoka Pakistan tayari kaisha pewa tenda ya ujenzi na makampuni 5 yatakayoendesha biashara hiyo tayari yamepatikana wanasubiri leseni tu.
Mama yetu kipenzi kuna jambo la kujifunza hapa
mliambiwa hawa sio watu wa kuchekea mkabisha huku mkimponda alie choma vifaranga. haya sasa bomba hakuna tena. mmebaki na MoU kabatini huku wakenya wakufaidika na yale madariki mliofanya hasa hasa upande wa work permit na Tozo.
wahuni si watu; Kenya 2: 0 Tanzania.Kazi Iendelee