Baada ya Kenya kuzuia gesi kutoka Tanzania, bei zapanda, wengi warudi kutumia mkaa na mafuta ya taa!

Well, that is impressive....
 
Ndio, mimi nimechukulia mwezi uliopita. Halafu nimegundua kenya vitu bei juu sana. Kale ka mtungi ka 13kg ni kadogo kweli lakini bei yao ikojuu sana. Halafu eti jamaa hawa wanaleta nyodo kweli.
Kule kumiliki mtungi wa gesi ni luxury.
 
Hongera serikali yetu kwa jambo hilo la kishujaaa....hivi waswahili wanatoa wapi lpg na hawana refinery, isiwe wanatuwekea ushuzi wao humo ndo maana mitungi inatulipukia ovyo hovyo! Funga na kampaka kabisa...[emoji3] [emoji3] [emoji109]
 
Kwa kujitetea wakenya mnaongoza.Kenya has a long way msipobadilika juzi Uhuru kazindua kiwanda feki cha beer kisumu. Kiwanda hakuna lakini mtu anazindua
 
Uzuri gesi na ngano yetu tunauza sana Uganda na Rwanda kuliko Kenya.
 
Nilipenda Magufuli alipo mwambia Jacob Zuma waongeze vikao vyao vya SADC kukutana, amesha ons EA kuna wanafiki wengi sana. Mijizi Mungu kutoka Kenya lazima tuiweke ndani. Nasikia jamaa alikuwa akimtumia Magufuli email Magufuli zakumshauli lakini kashika nakuweka ndani. Hawa ndo rafiki zake Moi na Uhuru.
 
Poor Kenya!!
 
Kwa sasa magufuli hadi wataalamu wakushauliana nae kuhusu miradi mikubwa anawachukua kutoka Ethiopia. Ethiopia ndowatu wetu wakushauliana nao ndani ya EA sio Kenya tena. Anajua niwanafiki hawachelewi kukuzunguka. Lamsingi tusonge mbele, Magufuli kajipanga. Anajua anachofanya
 

Attachments

  • IMG_20170628_224807.jpg
    70.9 KB · Views: 30
Bila bidhaa zetu na za Wachina mtaishi vipi nyie makanjanja wa Dar.
Vipi bei ya unga hapo Nairobi? Juzi niliona RC wa Kilimanjaro akizuia malori zaidi ya 20 yaliyokuwa na mahindi kupeleka Kenya. Aisee Magufuli waonee huruma majirani utawaua.
 
Wewe pumbavu migodini kwenu kuna tofauti gani? Unajua chochote kuhusu Kwale titanium na mgogoro wa mafuta unaofukuta Lokichar?
Jibu lako limenifanya ninywe na maji kidogo
safi sana
 
Vipi bei ya unga hapo Nairobi? Juzi niliona RC wa Kilimanjaro akizuia malori zaidi ya 20 yaliyokuwa na mahindi kupeleka Kenya. Aisee Magufuli waonee huruma majirani utawaua.

Jana tumeshusha tani 42,000 za mahindi pale Mombasa, tumenunua kutoka kwengine. Tumewaambia siku nyingi humu kwamba hamtupei mahindi bure, tunanunua kwa hela zetu ambazo tunazo nyingi.
Nyie ndio maana mpo maskini miaka yote, mnafanya biashara kwa wivu na majungu, sasa mnajidanganya kwamba mkigoma kutuuzia mahindi ndio mtakua mumetukwamisha, mnakosa kuelewa hiyo ni biashara na kuna mataifa mengi yaliyo tayari kufanya hiyo biashara.

Miafrika tumerogwa, yaani mwenyewe upo maskini halafu una bidhaa za kuuza lakini unabana kisa umkwamishe jirani. Ndio maana mnaliwa migodini, maana mzungu anakuja kiaina na kuchuma tu tena anawachanganya kwenye mikataba maana hata Kingereza hamkijui na mna uvivu wa kusoma.

[VIDEO] No need to panic, Bett tells Kenyans as 42,000 MTs of maize imported
 
Mngenunua kutoka Tanzania gharama ingepungua .hata hivyo serikali yetu inataka wafanyabiashara kuuza unga badala ya mahindi. Si kwamba tumezuia kwa nia ovu mkuu.
 
Lakini ujue gas mnayonunua 45000 Tanzania inauzwa 21000

Kwanini Nyinyi mnauza cheaper kutushinda ilhali sote tunaimport? Ukumbuke hata huku Kenya, Kuna maduka yanayouza gesi kwa bei Rahisi kushinda 2,000. Lakini gesi hizo hazikai. Kuna ukarabati mwingi sana ambao hufanywa na haya makampuni ndiposa mie hupenda kununua kutoka kwa makampuni Kama Total na Kenol. Bei zao ziko juu lakini ni kitu quality
 
Leo Norway minister of foreign affairs amefika state house kuonana na Rais tayari kwa utekelezaji wa stigliers gorge hydropower plant more than 2100 khwz to be produced from the dam
 
Wewe kweli bure, unadhan mna effect yoyote mkikataa kufanya biashara na sisi? Kumbe na wewe ni maskini wa kufikiri hivyo? Hiyo gas iliyolipuka kama ni fake, kwa nin isingelipuka wakati inasafirishwa? Ujinga wenu na utawatafuna mpaka vinyeo pumbavu nyie
 

Kisasi cha kuzuia mahindi, mi naona njia bora tuwapelekee sembe na si mahindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…