Baada ya Kiapo cha Odinga: Serikali imelitangaza kundi la NRM liongozwalo na Raila Odinga kuwa la kihalifu

"Sungu sungu" kumbe ni kundi la kigaidi? Sasa mbona tunawalea huku bongo?
Hao si Sungu sungu wa huko Tz. Sungu sungu na ndugu zao Chinkororo ni hatari kupindukia. Chimbuko la vikundi hivo viwili ni kaunti za Kisii na Nyamira, Kenya. Huwa wanachinjachinja 'maadui' zao na ukatili wakupitiliza, zaidi ya hata wanavochinjwa kuku wa kizungu. Kama Mungiki kabisa.
 
sasa mjinga nani mkenya au mtanzania???hivi kurumbana mnaona sifa eeehh!!
mnachokitafuta mtakipata!!
 
Mimi nahisi kinachowa cost Kenya ni UKABILA
Na sio mshikamano kwani hata hao viongozi kwa kiasi kikubwa wafuasi wao wengi kwa ukanda.

Tanzania kinacho tuunganisha ni kutokuwa na UKABILA na pia kutokuwa na udini.
Watanzania wameoleana kwa kila kabila na hata kwa kila dini
Karibia watu wengi wanamausiano ya namna moja hadi nyingine hivyo ni vigumu kuwagombanisha

LAKINI pia upinzani Tanzania ni wa kimagumashi
 

Yaani wewe dogo bwana!
Sijui una matatizo gani akilini mwako.
Wewe unadhania Kenya ni Banana Republic kama Rwanda ???
Wakikuyu na Ukabila wao woote ni watu wajanja mno hapa Afrika Mashariki.
Wanajua kabisa Siasa ya nchi yao na ndiyo maana kumdhuru Odinga inakuwa ngumu.

Mosi,
Alisahwahi kusema Henry Kissinger "When politics becomes too vicious then know that the stakes are too low: That's why University politics are too vicious because the stakes are just too low". Nadhani hapa utakuwa umeelewa kwanini wale Wakenya na Majasusi wao wenye akili kubwa kuliko wewe hawawezi kumuua Raila Odinga kirahisi rahisi tu. Tofauti na Tanzania hapa Raila mbali na kuwakilisha NASA nyuma yake ule ni msukumo mkubwa wa The Luo Elites. Nchi ikiingia kwenye machafuko haitakuwa tena NASA vs JUBILEE bali The LUO vs The KIKUYU.

Pili,
Uchumi wa Kenya Siyo kama Tanzania ambako ni (Half Command Economy, half Market Economy)
Kenya tayari ni Market Economy ambako uchumi hutegemea sana watu binafsi, soko la ndani na ushindani.
Nchi ile tayari imeingia kwenye kima cha kati cha Uchumi na vurugu zikitokea ina maana lazima kutatokea Economic Shock: Nchi itapunguza kiwango cha Uzalishaji, Soko la ndani litaharibika kwasababu uchumi uko mikononi mwa watu binafsi, uwekezaji kutoka nje na usafirishaji wa bidhaa kwenda nje utapungua hivyo itakuwa ngumu sana kwa Kenya kurudisha Uchumi wake juu bila kuongeza deni la taifa. Kitu kibaya sana kimkakati kwa nchi inayoendelea, hivyo Raisi Kenyatta hawezi kufanya upumbavu kwasababu The Stakes are just too high!

Tanzania Uchumi wake nusu ni Market Economy na nusu ni Command Economy,
Serikali ndiyo Mfanya Biashara Mkuu, na kipindi hiki cha Raisi Magufuli tunarudishwa tena kwenye Command Economy.
Huku tukishuhudia Sekta Binafsi zikifia kifo cha Mende: Nchi kama hii haina cha kupoteza kwasababu hakuna Interest Groups au Lobbying Groups ambazo zinaweza kuzuia Serikali isifanye Ujinga. Tena wananchi wengi ni masikini na hawajasoma (The Stakes are too low) na hata vurugu zikitokea zaidi ya kufa watu tu hakutakuwa na kingine cha kutishia Watanzania kwasababu wengi wetu tunaishi Below the poverty line tangia Uhuru.

Tofauti na Kenya,
Tanzania kwasababu ni Command Economy inaweza kurudisha juu haraka sana hata baada ya machafuko.
Tunaweza kufanya Ubinafsishaji (Privatization of major means of production) na kuruhu uwekezaji kwa kiwango kikubwa.
Raisi Mkapa alifanya sana hivi na Uchumi ulikuwa juu sana kwa muda mfupi; Raisi Kikwete alifanya hivi japo walishindwa kusimamia. Ndugu zetu Kenya hawawezi kufanya haya kwasababu nchi iliuzwa na Mzee Jomo Kenyatta tangia siku wanapata Uhuru.

Tatu.
Kenya wamevuka sana huu ulimwengu wa mawazo ya kitoto ambayo yametuganda sisi Watanzania tunaojihisi tuna akili.
Wao Uchumi ndiyo lugha ya kwanza kabla ya chochote kile. Tanzanian Government Trust in Guns and Swords, Kenyan Government Trust in Dollars and speaks one language called Economy. When they do diplomacy the do it for the sake of Economy, When they wage War they do it for the sake of Economy, When they do Humanitarian Interventions its all for the sake of Economy, When they do partisan Elections its all for the sake of Economy, and when they extend a hand of friendship its all for the sake of the Economy. And not this political expediency themed in our clumsy political arena. See the difference ??? I know it's hard to chew this up but its a painful truth. Kenya is few steps ahead of us.

NB: If its all about assassinating Raila Odinga or refraining from assassinating him, its all done in the name of Kenya's Economy. But here, here its different people kill, torture and do all kind of lackadaisical stuff for political expediency.

Nne,
Wakenya hawajiangalii tu wao katika kufanya maamuzi.
Nchi yao imekuwa mbele kiuchumi kwa muda mrefu sana kwenye huu ukanda wa Maziwa makuu.
Tangia aingie Raisi Jakaya Mrisho Kikwete nafasi yao imeonekana kutetereshwa na huyu Raisi Magufuli kupitia Uganda na Rwanda ameonekana kutishia kabisa ustawi wa Kenya kiuchumi. Leo hii wakimuua Raila Odinga hata Kimafia unadhani vurugu za Wajaluo na Wakikuyu zitaiacha nchi ile Salama ??? Zikitokea vurugu mle kwanza shughuli nyingi za Kiuchumi kama Kilimo na Utalii vitahamia Tanzania. Wawekezaji wengi wanaweza kuvutwa na Tanzania kama ilivyokuwa kwenye bomba la mafuta wakasingizia usalama. Sasa kama Kenya akiijiingiza kwenye vurugu basi itakula kwake tuu.

Tano,
Unasahau The ICC (International Criminal Court) Factor,
Raisi Uhuru Kenyatta na Makamu wake Bwana Rutto walishaonje joto ya jiwe kule The Hague.
Hivi unategemea kweli kama wataenda mara ya pili kwa kusababisha haya mauji watapona kweli ???
Hata Raisi Magufuli na jehuri yake akipelekwa kule hata wiki tu akirudi hapa atakuwa na roho nzuri kuliko Nabii Mussa.

NB: Angalia kule Sudan Raisi Omar Al Bashir siku hizi anafanya umafia kwa akili sana,
Tangu ilivyotangazwa kwamba yeye ni Indictable na kunusurika kudakwa kule Afrika kusini anaogopa balaa.
Sasa Wakikuyu wana akili sana, wameshajua kwamba wanamulikwa na Raila Odinga anafanya maksudi akijua kabisa dunia inaiangalia Kenya kwa jicho la tatu... (Hawewezi kudiriki hata kumgusa) unaweza ukawa ndiyo mwanzo wa shida tena kwa Raisi Kenyatta.

Sita,
Hapa Afrika Mashariki hakujawahi tokea Raisi Mbabe kama Daniel Arap Moi.
Arap Moi's tactics make Kagame na Magufuli look like Kindergarten Babies.
Alimwaga damu bila kuficha, alikuwa na misimamo mikali na alikuwa ana akili sana.
Lakini katika kuua kwake kote kule hakuzuia mabadiliko nchini Kenya,..mara KANU hiyo ikafa kifo cha mende.
Mtu yeyote mwenye akili ni lazima ajue kwamba "Nothing can ever stop changes within a society, you may try to delay it but it will come back knocking at your doorstep" and Smart governments do not avoid changes but they invented STRATEGIC PLANNING so as to adjust themselves to the coming changes which are brought under the umbrella of time. Huwezi kuzuia mabadiliko kwa kuua kimafia ndugu yangu; haijawahi tokea na haiji tokea zaidi zaidi mtayachelewesha tu lakini yatakuja.

NB: Watanzania ni lazima tujifunze kuangalia mambo katika Uzito wake,
Raisi Kenyatta kumwacha Raila Odinga kufanya haya ni kwamba There is more to this than what meets the eye.
Too much stakes,.... Kenya has just hit The Fork on the Road!
 
Hata tz imebarikiwa sana
 
Huyu jamaa aisee ataleta shida sana Kenya.. Baba yake alikufa huku akiutaka uraisi bila ya mafanikio.. Sasa naona mtoto ameamua liwalo na liwe, baada ya kuona ameshaukosa uraisi rasmi..
Atamfwata babayake bilahata ...
 
Kenyatta ana akili sana. Jamaa yake Faru John alitaka mauaji yatokee akadhibitiwa
Hahahaaaaaaa polisi walshaanza kuwanyesheaa mvua Jeshi likawambiaa waacheni NA token kabisa unless mnàmlinda mh rails asidhuriwe loh
 
Ukabila, ukanda, uvyama katuletea Sizonje
 
Raila ni kalio sana, huyo jamaa hana tofauti na Lowassa. Wanakaa kufikiria watu wanawataka ila ukweli kua wana washabiki wachache kulinganisha na upande wa pili. Yeye kakataa marudio ya uchaguzi mwenyewe sasa hivi anakuja kujifanya rais, kachaguliwa na nani? Anastahili kufungwa jela huyu mzee
 
Well said
 
True
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…