myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
boss hujaelewa post yangu vizuri!!rudia kuisoma tena taratiiibu utanielewa nilichokuwa namaanisha!!Utanifanya nini mimi wewe mtoto ???
Tuwe wakweli ,Kwetu hatuwezi kufanya upuuzi huu kwa sababu serikali ni strong na inasimamia katiba.
Huu upuuzi aliofanya Odinga hata UK na US angekamatwa kabla ya kuapa.
Mwaka Jana Spain ilitokea.
Ni dharau na uhaini kwa serikali ya Kenya, jeshi MTU kujitangazia na kuapa bila tume ya uchaguzi kukutangaza
Ooops nisamehe sana kaka!boss hujaelewa post yangu vizuri!!rudia kuisoma tena taratiiibu utanielewa nilichokuwa namaanisha!!
sikuandika ili kurumbana na wewe ila nilikuwa najaribu kuelezea tu athari zinazoweza kutokea kutokana na mambo yanayotokea Kenya!! ambao huathirika kwa kiasi kikubwa ni wananchi wakawaida(rejea mwaka 2007),lakini hao wanasiasa akina kalonzo,odinga hawatopatwa na chochote wataendelea kuwepo tu wakidunda na familia zao!!
Mimi binafsi nawaelewa watanzania kwa jinsi walivyo!! kwa jambo lolote la kisiasa likitokea litazungumzwa kisha wabongo wanaendelea na ishu zao za kila siku!!
cheers...Ooops nisamehe sana kaka!
Nadhani sikukuelewa hapo mwanzo,
Nimesoma hili bandiko lako Usiku na unajua akili za Usiku zilivyo! [emoji23] [emoji23] [emoji23] !
Cheers bro.....
Mbona alirudi jana?duu Uhuru yupo Ethiopia anakula bata na Wahabesh huku Raila akiedeleza part 3 ya Afrocinema
Mbona alirudi jana?
Nilitaka kuuliza hilo swali halafu mbona hatuoni Interahamwe au sababu walikuwa mabest wa Moi? Nasikia na mapanga ya kuchinja yalitoka kwa Moi."Sungu sungu" kumbe ni kundi la kigaidi? Sasa mbona tunawalea huku bongo?
Huo uninga uishie Kenya....................................NB: Watanzania ni lazima tujifunze kuangalia mambo katika Uzito wake,
Raisi Kenyatta kumwacha Raila Odinga kufanya haya ni kwamba There is more to this than what meets the eye.
Too much stakes,.... Kenya has just hit The Fork on the Road!
Malcom Lumumba.
Aliyekuwa na uwezo wa kumtikisa Odinga ni Moi tu,Kenyatta akijaribu wajaka watawachinja wasapre na chuki za ukabila zitazidi.Namlaumu na namshangaa sana Kenyatta na Ruto wake kwani Mtu kama Odinga alipashwa awe ' ameshapotezwa ' siku nyingi sana Kimafia / Kijasusi ili asiwasumbue na pia iwe sehemu ya ' kuwatisha ' na ' kuwanyamazisha ' wale wengine wote wenye viherehere ( Waganda wanasema wenye lugezigezi ) ili nchi ya Kenya iwe tulivu na waendelee kuijenga Kenya yao. Kwa kuchelewa Kwao huku ' Kummaliza ' sasa Odinga atawasumbua mno na kuharibu kila mara mipango yao ya Kiuongozi / Kiutawala.
Ila ana nyomi si ya kawaidaHuyu jamaa aisee ataleta shida sana Kenya.. Baba yake alikufa huku akiutaka uraisi bila ya mafanikio.. Sasa naona mtoto ameamua liwalo na liwe, baada ya kuona ameshaukosa uraisi rasmi..
Thubutuuuuuuuuu..........!!!!!Hebu imagine hicho kitendo kingefanyika Tanzania sizonje angefanyaje yaani
wewe ndo mpumbavu na Sizonje wakoAcha Upumbavu