Baada ya Kiapo cha Odinga: Serikali imelitangaza kundi la NRM liongozwalo na Raila Odinga kuwa la kihalifu

Baada ya Kiapo cha Odinga: Serikali imelitangaza kundi la NRM liongozwalo na Raila Odinga kuwa la kihalifu

....................................NB: Watanzania ni lazima tujifunze kuangalia mambo katika Uzito wake,
Raisi Kenyatta kumwacha Raila Odinga kufanya haya ni kwamba There is more to this than what meets the eye.
Too much stakes,.... Kenya has just hit The Fork on the Road!

Malcom Lumumba.
 
Utanifanya nini mimi wewe mtoto ???
boss hujaelewa post yangu vizuri!!rudia kuisoma tena taratiiibu utanielewa nilichokuwa namaanisha!!
sikuandika ili kurumbana na wewe ila nilikuwa najaribu kuelezea tu athari zinazoweza kutokea kutokana na mambo yanayotokea Kenya!! ambao huathirika kwa kiasi kikubwa ni wananchi wakawaida(rejea mwaka 2007),lakini hao wanasiasa akina kalonzo,odinga hawatopatwa na chochote wataendelea kuwepo tu wakidunda na familia zao!!
Mimi binafsi nawaelewa watanzania kwa jinsi walivyo!! kwa jambo lolote la kisiasa likitokea litazungumzwa kisha wabongo wanaendelea na ishu zao za kila siku!!
 
Kwetu hatuwezi kufanya upuuzi huu kwa sababu serikali ni strong na inasimamia katiba.
Huu upuuzi aliofanya Odinga hata UK na US angekamatwa kabla ya kuapa.
Mwaka Jana Spain ilitokea.
Ni dharau na uhaini kwa serikali ya Kenya, jeshi MTU kujitangazia na kuapa bila tume ya uchaguzi kukutangaza
Tuwe wakweli ,
Anachokifanya Raila Odinga ni kosa sana kisheria hilo wala sijakataa. Lakini nilichokiongelea hapo juu ni kwamba hapa nchini Raisi Magufuli anajifanyia anavyotaka na kuvunja katiba ya nchi with Impunity kwasababu ameshajua Watanzania ni waoga sana, wananunulika kirahisi kisa vyeo na ni rahisi kuwagawanya. Kama kaingilia Uhuru wa Mahakama na Kuminya demokrasia nchini, kufanya manunuzi makubwa bila idhini ya bunge, kudanganya bunge na taifa lote kwa ujumla kuhusu mambo mbali mbali na kutotii maagizo ya mahakama halafu hakuna anachofanywa na wananchi unadhani unaweza kufanya hivi nchini Kenya au Nigeria bila kusababisha madhara ??? (Only in Tanzania)

NB: Kinachosikitisha na kuudhi ni kwamba wanakuja watu wasomi kama wewe mnatetea ujinga na kusifia kwamba Magufuli ana heshimu Katiba na Sheria za nchi. (So sad)
 
boss hujaelewa post yangu vizuri!!rudia kuisoma tena taratiiibu utanielewa nilichokuwa namaanisha!!
sikuandika ili kurumbana na wewe ila nilikuwa najaribu kuelezea tu athari zinazoweza kutokea kutokana na mambo yanayotokea Kenya!! ambao huathirika kwa kiasi kikubwa ni wananchi wakawaida(rejea mwaka 2007),lakini hao wanasiasa akina kalonzo,odinga hawatopatwa na chochote wataendelea kuwepo tu wakidunda na familia zao!!
Mimi binafsi nawaelewa watanzania kwa jinsi walivyo!! kwa jambo lolote la kisiasa likitokea litazungumzwa kisha wabongo wanaendelea na ishu zao za kila siku!!
Ooops nisamehe sana kaka!
Nadhani sikukuelewa hapo mwanzo,
Nimesoma hili bandiko lako Usiku na unajua akili za Usiku zilivyo! [emoji23] [emoji23] [emoji23] !

Cheers bro.....
 
"Sungu sungu" kumbe ni kundi la kigaidi? Sasa mbona tunawalea huku bongo?
Nilitaka kuuliza hilo swali halafu mbona hatuoni Interahamwe au sababu walikuwa mabest wa Moi? Nasikia na mapanga ya kuchinja yalitoka kwa Moi.
 
Mbona hawamkamati na kumfungulia mashitaka kiongozi wa kundi hilo la kihalifu?
 
....................................NB: Watanzania ni lazima tujifunze kuangalia mambo katika Uzito wake,
Raisi Kenyatta kumwacha Raila Odinga kufanya haya ni kwamba There is more to this than what meets the eye.
Too much stakes,.... Kenya has just hit The Fork on the Road!

Malcom Lumumba.
Huo uninga uishie Kenya
Aige mtu Tanzania aone
 
Uroho wa madaraka na vyeo unanikumbusha mtu fulani mwenye mvi huku kwetu, ni shida sana sana...
 
Namlaumu na namshangaa sana Kenyatta na Ruto wake kwani Mtu kama Odinga alipashwa awe ' ameshapotezwa ' siku nyingi sana Kimafia / Kijasusi ili asiwasumbue na pia iwe sehemu ya ' kuwatisha ' na ' kuwanyamazisha ' wale wengine wote wenye viherehere ( Waganda wanasema wenye lugezigezi ) ili nchi ya Kenya iwe tulivu na waendelee kuijenga Kenya yao. Kwa kuchelewa Kwao huku ' Kummaliza ' sasa Odinga atawasumbua mno na kuharibu kila mara mipango yao ya Kiuongozi / Kiutawala.
Aliyekuwa na uwezo wa kumtikisa Odinga ni Moi tu,Kenyatta akijaribu wajaka watawachinja wasapre na chuki za ukabila zitazidi.
 
Huyu jamaa aisee ataleta shida sana Kenya.. Baba yake alikufa huku akiutaka uraisi bila ya mafanikio.. Sasa naona mtoto ameamua liwalo na liwe, baada ya kuona ameshaukosa uraisi rasmi..
Ila ana nyomi si ya kawaida
Huyu bwana alishinda kama ingekua haki bin haki
 
I guess that is why the other co principals did not attend the ceremony...
 
Back
Top Bottom