Baada ya Kifo cha Dkt. Magufuli, Jerry Muro ahofia kunyang'anywa cheo chake

Pasco aliuliza swali gumu Sana kwa mh
Japo alijibiwa lakini maelezo hayakujitosheleza hata mkuu mwenyewe aliona kwamba Pasco kamtoa nockout
Sasa ile ndiyo nadhani ilikuwa changamoto
Aliishia kupewa tafsiri ya jina lake aangaike nayo
 
Hana akili Wachagha wenzake wanapigana na biashara yeye analilia teuzi,baba yake akamuulize mama yake vizuri hiyo siyo damu ya kichagha huyo mamluki huyo
 
Rejea ule mkutano Kati ya Rais (Hayati Magufuli) na waandishi wa Hayati, yale maseali aliyouliza Mayala na tafsiri ya neno Mayala kwa mujibu wa Magufuli, utaelewa tu.
 
Huo ukabila mbona unahubiliwa na wachaga tu?
wachaga kwa nini mnawachukia sana wasukuma?
 
Anajijua kuwa alibebwa ndio maana hajiamini.
Akatafute kazi nyingine hata ya kufagia choo pale Lumumba.
 
"Na huu ndio ukweri"
 
Hivi karne hii bado unawaza umachame na usukuma[emoji41][emoji41][emoji41]
Acha mambo ya kizamani buana
Kauli yake ina maana kwamba angeweza kumteua msukuma akawa msemaji wa rais. Lakini hakujali kabila la msemaji wake akamweka mtu kwa sifa na siyo kabila.
 
Tuliiweka mapema sana ikahamishiwa jukwaa la Picha !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…