Baada ya Kifo cha Dkt. Magufuli, Jerry Muro ahofia kunyang'anywa cheo chake

Marehemu alimtaka jamaa akamkataa.
 
Tatizo la Paschal ni popo.
 
Paskali alianza vibaya japo baadaye aliunga juhudi mkono, aliuliza maswali yasiyopendwa ikulu na akapewa tafsiri ya jina lake kwamba ni njaa.
 
Bahati mbaya hajamalizia kipindi kilichobaki cha utawala wake, hatuwezi juwa kama angefanya hivyo kama alivyomteua mtoto wa dada hazina.
Kauli yake ina maana kwamba angeweza kumteua msukuma akawa msemaji wa rais. Lakini hakujali kabila la msemaji wake akamweka mtu kwa sifa na siyo kabila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…