Baada ya Kifo cha Dkt. Magufuli, Jerry Muro ahofia kunyang'anywa cheo chake

Kuna mmoja alikuwa akipita mtaani akasema, "Sasa hatuna mashaka kwa kuwa tupo chini ya mama. Baba anaweza akakataa mtoto lakini mama atalea, baba atakataa mimba lakini mama atabeba mimba take kwa imani. Mama ni mama". alimalizia mpita njia.
 
Labda huyo mwingine alikuwa kwenye kitengo maalum cha "Death Squad" ndio maana alipata hiyo fursa.
 
Anajua alipata madaraka kwa kujipendekeza, kwa kquli yake ajiandae kurudi yanga ingawa sijui nqo kama wanamhitaji kwa sasa
 
Muro alipitia mgongini mwa DAB

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Yule ni hamnazo, kumfuatilia ni kupoteza muda karne hii anataja makabila!!!!
 
HAFAI, HANA HESHIMA NA MWENZAKE SABAYA, HAWAJUI URAIS NI TAASISI, NI SYSTEM, HOFU ZAO NA KUHUSU KIONGOZI ANAYEFUATA ZIWAONDOE KWENYE VITI, ALAFU ANATAJA NA MAKABILA, HAWA NDIO WALIOSABABISHA GOVT IKACHUKIWA CHUKIWA KWA MATENDO YA CHUKI ZA OVYO KWENYE JAMII
 
Mngejiimarisha kwenye kusuka mipango na mikakati ya chama chenu muone mnaongezaje idadi ya wabunge wa kuchaguliwa 2025 hizi cheap politics ambazo zipo based na watu haziwasaidi.
Yaani nimewaza huyu madam aendeleze ile staili ya mzee,ajaze wapemba na waunguja serikalini hadi waishe!! Usingeona huu umwambafication wa wakina muro na saambaya wallah!! Tuendelee tu kuomba Mungu
 
Wengi wao ndiyo walivyo na hofu kuu maana mwiba daima utokea pale ulipo ingilia.

Wana hofu kwa kujua madhaifu yao maana vigezo vilivyo wapatia hivyo vyeo anavijua aliye wateua
Ongezea... Kinachowasumbua ni hofu ya chama kurudi kwa waasisi/wenye chama, hivyo wazamiaji/waunga juhudi wanajua their future is uncertain....
 
Mngejiimarisha kwenye kusuka mipango na mikakati ya chama chenu muone mnaongezaje idadi ya wabunge wa kuchaguliwa 2025 hizi cheap politics ambazo zipo based na watu haziwasaidi.
Hakuna cha cheap politics, hii ndiyo siasa yenyewe sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…