Mama bado anawapa mda. Na wao wanamchokoza ili ajibu. Wanasiasa za kijinga Sana.Nimecheka kweli yani eti hasira zao zimeamia kwa Diamond,Ajabu ktk 90% ya wasanii walokua wanapiga kampeni Basi wamemchagua diamond kufuta hasira zao na jinsi walivyo mandezi wakiongozwa na viongozi wao Bila aibu eti wanampigia kura msanii ambaye si mtanzania eti kuwakomesha.
Hapo ndo napata tabu Hawa watu wakichukua nchi visasi na umwagaji damu ndo vitataradadiii
Za enzo yako pendwa ulikariri kuwa ndio siasa safi,ndio maana huishi kulialia na kuwalaumu wenzako.Mama bado anawapa mda. Na wao wanamchokoza ili ajibu. Wanasiasa za kijinga Sana.
Unataka tumtaje mwasisi wa hilo,enzo za awamu yako pendwa.Kwà upande wako siasa ni kueneneza ukabila?
Ujibu tu Diamond amekosa nini mpaka mmpigie kura na kususa bidhaa zake?Kudai katiba na tume huru ni kuchochea chuki?
Huwezi kunilazimisha kumpigia kura diamond kama naona mziki wake sio mzuri kushinda wa Burna Boy.
Ni sikio la kufa huwa halisikii dawa.Kuna msemo unaosema, asifuye mvua imemnyea.
Wakati wa Hayati Dkt. Magufuli, CHADEMA walikuwa na propaganda kali sana kwamba Magufuli ameshindwa kuleta umoja kwa taifa. Kwa vile Mara nyingi wanalalamika kwenye mitandao mambo yao yakaenda hadi nje ya nchi.
Kuna wengine hadi wakaomba uhamisho kwa mbwembwe kwamba ni wakimbizi wa kisiasa na sababu ni Hayati Magufuli.
Sasa Hayati Magufuli hayupo, Ila bado wanalazimisha chuki miongoni mwa Watanzania.
Mwenyekiti wa chama ana hubiri chuki za ukabila.
Wanachama wanahubiri chuki zaidi ya Diamond asipigiwe kura.
Hawa watu ni watu wa aina gani?
Ungekuwa wewe Ndio Rais wa nchi unawafanya nini Hawa? Unaweza ukawaalika ikulu kula nao mesa Moja na kugonga nao cheers?
Nahisi Dkt. Magufuli alikuwa sahihi kuwatuliza.
Asante kwa kucommentWewe ni hasara kwa wazazi.
Mziki wake uko chini ukilinganisha na Davido,Wizkid na Burna Boy (huu ni mtazamo wangu)Ujibu tu Diamond amekosa nini mpaka mmpigie kura na kususa bidhaa zake?
chuki zimetoka wapi tena. Haya ni mavuno tu. waliopanda kahawa wasitegemee kuvuna korosho.Kuna msemo unaosema, asifuye mvua imemnyea.
Wakati wa Hayati Dkt. Magufuli, CHADEMA walikuwa na propaganda kali sana kwamba Magufuli ameshindwa kuleta umoja kwa taifa. Kwa vile Mara nyingi wanalalamika kwenye mitandao mambo yao yakaenda hadi nje ya nchi.
Kuna wengine hadi wakaomba uhamisho kwa mbwembwe kwamba ni wakimbizi wa kisiasa na sababu ni Hayati Magufuli.
Sasa Hayati Magufuli hayupo, Ila bado wanalazimisha chuki miongoni mwa Watanzania.
Mwenyekiti wa chama ana hubiri chuki za ukabila.
Wanachama wanahubiri chuki zaidi ya Diamond asipigiwe kura.
Hawa watu ni watu wa aina gani?
Ungekuwa wewe Ndio Rais wa nchi unawafanya nini Hawa? Unaweza ukawaalika ikulu kula nao mesa Moja na kugonga nao cheers?
Nahisi Dkt. Magufuli alikuwa sahihi kuwatuliza.
n wao waliyapalilia kwa mbwembwe yakamea na kukua sasa wavune tu. Yaani haya maccm hata siyaelewi yanalialia siku hizi wakati yanapigwa maneno matupu. Je sisi tuliopigwa hela na mabomu tutasemaje?Kayafa ndo root ya haya mambo msijitoe ufahama.
Rwanda wanaitwa genocidereUngekuwa wewe Ndio Rais wa nchi unawafanya nini Hawa? Unaweza ukawaalika ikulu kula nao mesa Moja na kugonga nao cheers?
Nahisi Dkt. Magufuli alikuwa sahihi kuwatuliza.
Diamond alisapoti mauaji na mateso ya watuNimecheka kweli yani eti hasira zao zimeamia kwa Diamond,Ajabu ktk 90% ya wasanii walokua wanapiga kampeni Basi wamemchagua diamond kufuta hasira zao na jinsi walivyo mandezi wakiongozwa na viongozi wao Bila aibu eti wanampigia kura msanii ambaye si mtanzania eti kuwakomesha.
Hapo ndo napata tabu Hawa watu wakichukua nchi visasi na umwagaji damu ndo vitataradadiii