Baada ya kifo cha Magufuli, Wapinzani walituaminisha chuki zitaisha kumbe bado?

Wewe mwenyewe ulichoandika hapa ni chuki na uchochezi dhidi ya Jamii fulani. Nyumba imevunjwa bado unahangaika kutafuta mlango wa kutokea!
 
Mziki wake uko chini ukilinganisha na Davido,Wizkid na Burna Boy (huu ni mtazamo wangu)
Kuhusu kususia bidhaa zake hilo silijui sababu mimi hakuna hata bidhaa yake moja nishawahi kutumia(if at all ana hizo bidhaa)
Mwanamziki bidhaa yake ni mziki wake
 
Chuki haiondolewi kwa watu walioumizana kwa kusema tudumishe amani,upendo na mshikamano. Chuki inaondolewa kwa watu kuombana msamaha kwa kuumizana na kukubaliana kuanza ukurasa mpya wenye kujenga taifa. Kosa kubwa mama yetu au chama tawala hakitani kuomba msamaha wakidhani kusema tudumishe amani na upendo ndiyo itaondoka. Chuki inakaa kwenye moyo na inaondolewa kwa njia ya msamaha. Kumwomba mtu msamahacsiyo udhaifu ni ushindi kwa jamii iliyostarabika.
 
Wewe mwenyewe ulichoandika hapa ni chuki na uchochezi dhidi ya Jamii fulani. Nyumba imevunjwa bado unahangaika kutafuta mlango wa kutokea!
Kuwa wazi mkuu. Unaandika mafumbo Sana.
 
Okay. Basi endelea kushupaza shingo . Ikikatika utaelewa.
 
Okay. Basi endelea kushupaza shingo . Ikikatika utaelewa.
Yesu Kristo alitufundisha msamaha na kutuombea kwa baba mbinguni ''Baba uwasamehe kwa kuwa hawajui walitendalo" chuki ni mbegu haitoki kwa maneno matamu bali kwa kuombana msamaha.
 
Hizi choko choko mnazozitafuta matokeo yake ni kutupwa lupango. Nchi haiwezi kuendeshwa kwà kuhubiri chuki.

Bahati yenu Mama bado anawapa.
 
Hizi choko choko mnazozitafuta matokeo yake ni kutupwa lupango. Nchi haiwezi kuendeshwa kwà kuhubiri chuki.

Bahati yenu Mama bado anawapa.
Hivi unadhani ni rahisi kwa mtu kama Lissu aliyepigwa risasi 16 kama nyumbu, kuvuliwa ubunge, kunyimwa mshahara nakiinua mgongo kumwondolea chuki kwa kumpa maneno matamu tuu hata msamaha haombwa / Moyo wake kaumizwa kiasi gani? Je kiongozi aliyepo ana dhamira ya kuponya taifa kweli?
 
Kwani alipigwa risasi nani? Lisu kupigwa risasi ina uhusiano gani na maisha ya watanzani

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Kwani alipigwa risasi nani? Lisu kupigwa risasi ina uhusiano gani na maisha ya watanzani

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Tunachongelea hukijui Lissu ni kiongozi anaongoza wanachama sasa huwezi kuponya majeraha ukaachaxkuzungumzia matukio yaliyopandikiza mbegu za chuki, kama wastaarabu tafakari wapi mbegu za chuki zilipoanzia
 
swala si ikulu ni kuponya mbegu za chuki kwa watanzania, hivi kweli haushangai kiongozi anakufa watu wanafanya sherehe, kiongozi anasimamishwa kazi watu wanapiga bia?
 
Na wao wakampoteza, Aliye uza cheni bandia kapewa hela bandia, ngoma droo hiyo
 
He!! Na wewe!!! bado una mfu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…