Dr Slaa anafaa sana,atamsaidia mama,anayo exposure kubwa kimataifa,mjenzi wa hoja, haogopi midahalo.
 
Napenda sana awe Januari aisee he is so smart
Mifuko ya plastic ilimshinda kuiondoa!! yuko Laizer faire sana utanga mwingi ila anajua vitu vingi na ana exposure ila mzito sana utekelezaji otherwise anafaa ila abadilike uswahili wa kitanga aache
 
Atatoka mtu ambaye hata huwezi mtarajia,kama alivyopatikana waziri wetu wa sasa
Majaliwa na Kikwete hawajakutana majalalani kama wengi wanavyo dhani,Rais anayetoka madarakani ndio anachagua anayetakiwa kuwa Rais,Makamu na Waziri Mkuu wote huwa ni mikono take.

So,kuanzia Magufuli,Samia,na Kassim wapo katika nafasi hizo kwa kuwa Kikwete ndio alitaka iwe hivyo.msidhani waliibuka kama uyoga.hayo sijui mavikao ya Kamati kuu ya CCM huwa ni kuidhinisha alicho amua mwenyekiti.
 
mmmh kwa Samia(makamu) labda, ila Majaliwa czan, kama n hvyo baraza zima la mawazili utaniambia anachagua raisi mstaafu
 
Na mkikosea tu kwenye uteuzi wa huyo Makamu wa Rais, basi 2025 mjiandae kusulubika! Mbaya zaidi yule mliye mtegemea hayupo tena!

Hakika patachimbika.
Tangu tukio kubwa la kihistoria litokee March 17, Musiba aka Mwanaharakati huru hajasikika kabisa. Kulikoni? Kajichimbia wapi?
 
Lukuvi anafaa sana.
Lukuvi anauwezo mkubwa sana wa kufuatilia mambo.

Lukuvi atamrahisishia Rais wetu kuwashughulikia wezi waliojazana kila sekta huku wakijiita wazalendo.

Lakini pia yupo Dr. Slaa. Huyu ni mtu safi asiye na tuhuma wala uroho wa kujilimbikizia mali.

Mtendaji Mwingine anayeweza kumsaidia Mh. Rais Samia Suluhu ni AGREY MWANRY.
Huyu utendajo wake ni wa kutukuka bila kumwonea mtu. Anajua kuwabana wabadhirifu wa mali za umma kwa haki kabisa.

Kuna mwingine anayetajwa ,huyu ni Prof. Kabudi,; huyu ni mtu asiye na dira maalumu. Ni mlugaluga. Leo yupo hivi kesho vile. Mama achukue tahadhari sana kwa watu kama hawa , hawa ni wale waliokua wanajiona bila wao nchi haitaenda , utafikiri wao ndio Mungu.
Mungu aliyemuumba Magufuli ndiye aliyemuumba Pia mama Mh. Samia.
Anayebaki kumtukuza binadamu badala ya Muumba huyo tutamsamehe bure.

Nchi hii inahitaji mabadiliko katika fikra za kusaka uongozi.
Uongozi umekua ni fursa ya kujineemesha badala ya kutoa haki bila ubaguzi.

Ni Ukweli uliojificha kuwa kuna kamtandao kalikua kanajikita kwenye utawala kwa mgongo wa utendaji wa serikali huku kakiwapoteza na kuteka watu wote waliokua tishio kwao kisiasa na kiuchumi. Kamtandao hako ndiko kalikoitia dosari serikali yetu.
Ni kamtandao kalikojificha kwenye utekaji, uporaji wa fedha za watu kwa mgongo wa uhujumu uchumi , kutisha watu, ukabila ,udini na misingi ya ukanda. Haka kakundi kalikojificha chini ya kivuli cha kupigania chama na serikali kalikua na malengo maovu sana ka kuigawa nchi vipande vipande ili pawe na vinchi kama Rwanda bahati nzuri Mungu ametuletea Rais Jasiri Kabisa Mama yetu Samia Suluhu ,asiye na upendeleo wala maslahi binafsi ili aimarishe umoja wetu na utu wetu kama watanzania.

Nchi ilifikia mahali kutaja neno haki hata kwenye nyumba za Ibada ni kosa na viongozi wa dini wakawa wanahubiri maendeleo ya vitu na kusahau utu,haki, wema na usawa.
Viongozi wakawa wanasema hatutaki HAKI tunataka maendeleo.
 

Jambo usilolijua Mkuu ni sawa na usiku wa giza
 
Makamu wa Raisi ndiye atakuwa mgombea mwenza 2025 anatakiwa kuchaguliwa kimakini awe clean tuhuma za kifisadi ziwe zero na afya na umri uangaliwe pamoja na utendaji wa kutukuka

Ufisadi si umeisha, hao mafisadi watatokea wapi tena? Na iwapo huyu mama atagoma kuibeba ccm na kura za kwenye mabeg, ndio mtajua ni kwa jinsi gani Magufuli aliiharibu ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…