Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Dr. Slaa kiboko ya Wahuni kama Mbowe
Angekuwa na msimamo kama zamani, ningunga mkono! Ila ukishaona mwanaume ameshikiliwa msimamo na mwanamke, huyo ni wa kutupa tu jalalani.

Wake zetu wanatakiwa tu kutushauri kwa busara na kuwa marafiki zetu wa kweli katika shida na raha! Siyo kutushika masikio! Jambo hili hata Mwalimu Nyerere alilikemea sana enzi za utawala wa Mzee wa Ruksa.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Alienda maccm akili akaacha Chadema. HAFAI!
Wakuu, sina uhakika kama dockta alijiunga na Chama Cha Mapinduzi kama yule dada ambaye ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Kama ni mwanachama wa CCM tayari basi anafaa kuwa Makamu wa Raisi wa nchi yetu labda tu pawe na vigezo vingine.
Nawasilisha.
 
Slaa Ni Fisadi Mkubwa tunanyamaza tu, Jana alienda NBC CORPORATE kupokea nini?

Najua yupo Hapa anasoma Lakin tunamtunzia heshima
 
Wakuu, sina uhakika kama dockta alijiunga na Chama Cha Mapinduzi kama yule dada ambaye ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Kama ni mwanachama wa CCM tayari basi anafaa kuwa Makamu wa Raisi wa nchi yetu labda tu pawe na vigezo vingine.
Nawasilisha.
Lile kundi lilokuwa limeasisiwa kwa ajili ya kuwanyanyasa ccm asili alina nafasi kipindi hiki.
Kwanza Dr Slaa ana ndimi mbili kupitia ile muvi ya Kilimanjaro Hotel
 
Wakuu, sina uhakika kama dockta alijiunga na Chama Cha Mapinduzi kama yule dada ambaye ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Kama ni mwanachama wa CCM tayari basi anafaa kuwa Makamu wa Raisi wa nchi yetu labda tu pawe na vigezo vingine.
Nawasilisha.
Pia naona anafaa. Ila siyo mwana CCM, au chama kingine.
 
Makamu wa Raisi ndiye atakuwa mgombea mwenza 2025 anatakiwa kuchaguliwa kimakini awe clean tuhuma za kifisadi ziwe zero na afya na umri uangaliwe pamoja na utendaji wa kutukuka
Na mkikosea tu kwenye uteuzi wa huyo Makamu wa Rais, basi 2025 mjiandae kusulubika! Mbaya zaidi yule mliye mtegemea hayupo tena!

Hakika patachimbika.
 
Back
Top Bottom