Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,237
Anajipinga ufisadi si unakumbuka baada ya akina Mbowe kuleta mavi sebuleni akaondoka zake?Hafai ni mtu asiyejua anachosimamia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajipinga ufisadi si unakumbuka baada ya akina Mbowe kuleta mavi sebuleni akaondoka zake?Hafai ni mtu asiyejua anachosimamia.
Alishindwa UPADRE ndio Aweze Umakamu HAFAIWakuu, sina uhakika kama dockta alijiunga na Chama Cha Mapinduzi kama yule dada ambaye ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Kama ni mwanachama wa CCM tayari basi anafaa kuwa Makamu wa Raisi wa nchi yetu labda tu pawe na vigezo vingine.
Nawasilisha.
Wahuni wako huko CCMDr. Slaa kiboko ya Wahuni kama Mbowe
Sijui kwa nn JF inaruhusu shit kama "wewe"Anajipinga ufisadi si unakumbuka baada ya akina Mbowe kuleta mavi sebuleni akaondoka zake?
Punguza mihemko dogoSijui kwa nn JF inaruhusu shit kama "wewe"
Shiiiit...
Angekuwa na msimamo kama zamani, ningunga mkono! Ila ukishaona mwanaume ameshikiliwa msimamo na mwanamke, huyo ni wa kutupa tu jalalani.Dr. Slaa kiboko ya Wahuni kama Mbowe
Ewaaa Slaa hapendi kubabaishwa kama akina Mnyika mla ganjaDr. Slaa kiboko ya Wahuni kama Mbowe
Wakuu, sina uhakika kama dockta alijiunga na Chama Cha Mapinduzi kama yule dada ambaye ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Kama ni mwanachama wa CCM tayari basi anafaa kuwa Makamu wa Raisi wa nchi yetu labda tu pawe na vigezo vingine.
Nawasilisha.
Lile kundi lilokuwa limeasisiwa kwa ajili ya kuwanyanyasa ccm asili alina nafasi kipindi hiki.Wakuu, sina uhakika kama dockta alijiunga na Chama Cha Mapinduzi kama yule dada ambaye ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Kama ni mwanachama wa CCM tayari basi anafaa kuwa Makamu wa Raisi wa nchi yetu labda tu pawe na vigezo vingine.
Nawasilisha.
Pia naona anafaa. Ila siyo mwana CCM, au chama kingine.Wakuu, sina uhakika kama dockta alijiunga na Chama Cha Mapinduzi kama yule dada ambaye ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Kama ni mwanachama wa CCM tayari basi anafaa kuwa Makamu wa Raisi wa nchi yetu labda tu pawe na vigezo vingine.
Nawasilisha.
Ngoja waje wale wanao jiita Joyce magufuli, sijui veronika nani!! Waanze kumwaga tuhuma za uongo za kumhusisha na kigogo 2014!!Napenda sana awe Januari aisee he is so smart
Na mkikosea tu kwenye uteuzi wa huyo Makamu wa Rais, basi 2025 mjiandae kusulubika! Mbaya zaidi yule mliye mtegemea hayupo tena!Makamu wa Raisi ndiye atakuwa mgombea mwenza 2025 anatakiwa kuchaguliwa kimakini awe clean tuhuma za kifisadi ziwe zero na afya na umri uangaliwe pamoja na utendaji wa kutukuka