Daaa Mkuu kama ulienda shule basi wazazi wako walitupa pesa jalalani au Walimu wako walipata taabu kukuelimisha au hukuwahi kuhudhuria shule kabisa!

Ndugai huyu alietaka walimu tuongeze we masomo ya kusoma au kuna mwingine anatoka Chato?

Muda mwingine tufikirie kwa kufikiria kwa kichwa na sio TUMBO na MATTER CALL[B/]
 
Hekima gani? ni hekima kusema mwalimu mmoja afundishe masomo matano?? Ndugai ni silly person wala hastahili hizo sifa
 
NAWAHAKIKISHIA HUYU MZEE NDUGAI NI MTU MUADILIFU A MAN OF HIS WORDS,MZALENDO,SIO FISADI, MTENDA HAKI ANAYEFATA SHERIA .
MUNGU MBARIKI SANA HUU MZEEE ANAFAA KABISA KUPATA U MAKAMU WA RAIS HUYU NEXT SHUJAA WA AFRICA.KIPENZI CHA WANYONGE
HAFAI HATA KIDOGO
 
NAWAHAKIKISHIA HUYU MZEE NDUGAI NI MTU MUADILIFU A MAN OF HIS WORDS,MZALENDO,SIO FISADI, MTENDA HAKI ANAYEFATA SHERIA .
MUNGU MBARIKI SANA HUU MZEEE ANAFAA KABISA KUPATA U MAKAMU WA RAIS HUYU NEXT SHUJAA WA AFRICA.KIPENZI CHA WANYONGE
Nadhan huu ni muda wa sis km memba wa JF kumpigia chapuo mmoja wetu kushika hiyo nafas ya umakamu wa rais na kwa kuzingatia haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kujieleza na kusikilizwa nadhan Bujibuji,Kimso au Hanga mmoja wapo itapendeza akishika hiyo nafas.
 
Wazanzibar kwa uadilifu wako vizuri, hata VP akitoka visiwani siyo vibaya, yote ni Tanzania.Tuachane na hawa wanaojiita wana mtandao tutarudi tena kwenye zama zileeee,Watz wengi memory ni 50MB wameshasahau tayari😁😁
 
Ndugai atakufa kwa Corona kwa sababu ameichezea sana katiba.Mark these words!
 
Dr,Slaah
WibSlaa
 
Kuna kila dalili kuwa makamo wa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania atatokea mkoani Kilimanjaro

Stay turned
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…