Suala la dini kuwa moja na Rais na Waziri Mkuu litakuwa kikwazo kwa January, japo nami naona angelifaa sana.
 

Acha bangi inakuharibu.
 
Majaliwa makamu, pole pole waziri mkuu, ngoma inogile tusonge mbele
 
Mimi nilijua Makamu hawezi kutokea ndani ya bunge.
Yaah lazima awe na sifa za kuweza kuwa Mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi, lLAKINI siyo lazima AWE Mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi ili awe Makamu wa Rais.
 
Nasikia Wasukuma wanataka hiyo nafasi kwa udi na uvumba. Waziri wa ujenzi ndio chaguo lao ikishindikana basi hata Askofu Rashid au Makonda.
Kuliko turudushwe tena kwenye aliyepasua nchi kwa ukanda na ukabila bora tuongozwe bila makamu tubaki na mama anatosha sana. Msituletee tena maumivu ya kutugawa watanzania. Imetosha.
 

Lissu 🤣. Kwa kutumia katiba gani?
 
Balozi Mahiga alifariki tar 1 May 2020, kesho yake tar 2 May Rais akamteua Nchemba kuziba hiyo nafasi (kabla hata ya mazishi).

Naamini huko Magufuli aliko, angependa tumuenzi kwa kuziba nafasi hizo haraka sana tena kabla ya mazishi.
Alikuwa hampendi kabisa. Chuki ya wazi. Yasni Aisee ngoja tunyamaze. Ninakumbuka jinsi pia mke wa Mahiga alivyodhalilika? Acha tusifukue makaburi maana ni mengi mno.
 
Kangi lugola aliyemtaka Mungu kumshukuru magufuli.

Kweli ccm ni chama cha kishetani
 
Poleni Watanzania kwa msiba mzito,lakini nchi itaendelea na maisha lazima yaendelee.

Kwa mujibu wa katiba sasa Rais ni mama anatokea Zanzibar na makamo anapaswa atokee bara.

Mzee kabudi anafaa kwa nafasi hiyo, tunaomba CCM mlifanyie hili kazi.
Hafai hafai. Sipendi watu wanaotolewa majalalani mimi.
 
Tuanze na rais kwanza kabla ya makamo. Rais anayefaa kuiongoza Tanzania ni Tundu Lissu tu
 
Nasikia Wasukuma wanataka hiyo nafasi kwa udi na uvumba. Waziri wa ujenzi ndio chaguo lao ikishindikana basi hata Askofu Rashid au Makonda.
Jamani msitulundike kikabila mtego wa panya unaonasa mpaka paka.

Huu ukabila si haki.

Kuna Wasukuma wengi hatupendi ukabila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…