Waziri Mkuu ndugu Kassim Majaaliwa, anaweza kukaimu (kuziba pengo) nafasi ya Makamu wa Raisi.
 
Yupo mtu Kutoka Mji kasoro Bahari.
Chumaaa Prof. Paramagamba Kabudi.[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
Akichaguliwa makamba umeme bwawan tusahau ingekuwa majaliwa ingekuwa poa sana
 
Mkuu, umemtukana Mzee Kikwete.
 
Hapo ni Bashiru tu.
From katibu mkuu wa chama,na kuwa katibu mkuu ofisi ya Raisi halafu makamu wa Raisi ndani ya mwezi mmoja! Naona kama ni ndoto vile. Na kama ni kweli kuna pesa ilivutwa inahitaji uchunguzi kwanza kabla ya uteuzi. Anayepashwa kuapishwa kwanza ndiyo angeendelea halafu huko kwingine watulie wasifanye papara. Makamu wa CCM si yupo? Anafanya nini?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 

Hii list naomba kuwaondoa wafuatao

1. Kikwete na Mwandosya. Hawa umri umeenda kidogo na pia JK hawez kutoka kwenye urais kua umakamu tena, ila wanatakiwa wawe washauri wa karibu sana wa Mama na wengine ambao hawatachaguliwa kutokea kwenye list yako kama yupo kwenye hio list ambaye atachaguliwa.

Naomba kuongeza mmoja, hua anajielewa sana.

1. Profesa Mbarawa.
 
Wazo lako liko sawa,ila haukuzingatia yafuatayo:
1.Gharama.
2.Nafasi ya kutekeleza.
3.Maslahi ya Chama kimoja kimoja.
NB: Kifo si nafasi ya kujinufaishia
R.I.P Magufuli,JP
 
Sidhani kama watapenda kutoa mtu nje ya waliokuwa kwenye mchujo wa 2015.. 'Possibility' kubwa ni January Makamba kama VP.. na pia huenda ushawishi wa JK ukasaidia pia kwani ndiyo mwenye nguvu kwenye Kamati ya Marais Wastaafu..
 
Majaliwa muongo muongo... Tena mbela ya taifa bora angekaaga kimya ....


HAFAI
Halafu hili lake halitafutika hata baada ya miaka inayokuja sababu aliongea uongo mkuu mbele ya Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…