Lukuvi tayari mbunge anatakiwa mtu ambae sio mbungeDr. Emmamuel Nchimbi anapewa nafasi kubwa ya kuchukua mikoba ya Mama Samia Suluhu ambaye muda wowote kuanzia sasa ataapishwa kuwa Rais wa JMT... Nchimbi ameonekana kama mtu makini, mwenye uwezo na uzoefu katika utumishi.
Mbali na Nchimbi mwanasiasa mwingine anayetajwa ni William Lukuvi ambaye kwa sasa ni Waziri wa Ardhi.
Muda si mrefu nchi itapata Makamu wa Rais ambaye uteuzi wake utafanywa na Rais ajaye Mama Samia akishauriana na chama chake CCM. Tayari CCM kimeirisha kikao cha Kamati Kuu siku ya Jmosi
Hivi anajisikiaje huko aliko?....mtu mzima kusema uwongo hadharani vile jamaniHuyo kwa uongo wake mkubwa kwamba alikuwa anayapitia mafaili sidhani kama anastahili nafasi yoyote ile ni bora angepiga kimya kuliko kujishushia hadhi kiasi kile.
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Mwigulu Nchemba.
Palamagamba Kabudi.
Phillip Mpango.
Kuna yule DC wa HAIKuna viherehere fulani ningetamani wafutwe kwenye uso wa siasa kabisa
1.ALLY APPI
2.MAKONDA
3.KENANY DC yule aliechapa wanafunzi
4.PROF MIJICHO KABUDI
5.Pro MPANGO
6.DOTTO WA HADHINA
Sumu haionjwi
I thought Majaliwa should resign for a broad daylight lie about whereabouts of the former President!Makamu ni Majaliwa..
Hivi kwani RA kasi aliyorudi nayo mbona imeishinda ya awali na wapinga ubeberu wameufyata!!Mkisikia NCHIMBI kawa makamu wa Rais; mjue mkwere/ Vasco Dagama amerudi kutawala na mafisadi watarudi kwa kasi ya 5G!!!
Ni bora kabudi kuweka walarushwa hawa tutaishia pabayaDr. Emmamuel Nchimbi anapewa nafasi kubwa ya kuchukua mikoba ya Mama Samia Suluhu ambaye muda wowote kuanzia sasa ataapishwa kuwa Rais wa JMT... Nchimbi ameonekana kama mtu makini, mwenye uwezo na uzoefu katika utumishi....
Hivi kwani RA kasi aliyorudi nayo mbona imeishinda ya awali na wapinga ubeberu wameufyata!!Mkisikia NCHIMBI kawa makamu wa Rais; mjue mkwere/ Vasco Dagama amerudi kutawala na mafisadi watarudi kwa kasi ya 5G!!!
Izi sasa dharau kwa kipenzi cha watu msiopenda watu wawe huru. Watu kama nyinyi ndo wale wanaotaka kusujudiwa
Hivi anajisikiaje huko aliko?....mtu mzima kusema uwongo hadharani vile jamani
Makamu ni Majaliwa..
Maamuzi ya kamati kuu ya CCM ndio yataonesha kuwa wapinga ubeberu wameufyata!!Hivi kwani RA kasi aliyorudi nayo mbona imeishinda ya awali na wapinga ubeberu wameufyata!!
Hakuna awamu ambayo haikuwa na mapungufu. Watumiaji madawa hawakuisha kipindi cha JK hata ss wapo na kuna mengi ya kulalamikiwa sasa ambayo wakati wa JK yalikuwepo ila si kwa kiwango cha sasa. Heshimu viongozi wako waliopita.Kipenzi cha watu ambae aliachia wauza madawa ya kulevya yakaribu nguvu kazi ya vijana wetu ambao wameharibika kwa kutumia hayo madawa?
Hakuna awamu ambayo haikuwa na mapungufu. Watumiaji madawa hawakuisha kipindi cha JK hata ss wapo na kuna mengi ya kulalamikiwa sasa ambayo wakati wa JK yalikuwepo ila si kwa kiwango cha sasa. Heshimu viongozi wako waliopita.
Biashara yao imeisha jana haoNasikia Wasukuma wanataka hiyo nafasi kwa udi na uvumba. Waziri wa ujenzi ndio chaguo lao ikishindikana basi hata Askofu Rashid au Makonda.