Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Dr. Emmamuel Nchimbi anapewa nafasi kubwa ya kuchukua mikoba ya Mama Samia Suluhu ambaye muda wowote kuanzia sasa ataapishwa kuwa Rais wa JMT... Nchimbi ameonekana kama mtu makini, mwenye uwezo na uzoefu katika utumishi.

Mbali na Nchimbi mwanasiasa mwingine anayetajwa ni William Lukuvi ambaye kwa sasa ni Waziri wa Ardhi.

Muda si mrefu nchi itapata Makamu wa Rais ambaye uteuzi wake utafanywa na Rais ajaye Mama Samia akishauriana na chama chake CCM. Tayari CCM kimeirisha kikao cha Kamati Kuu siku ya Jmosi
Lukuvi tayari mbunge anatakiwa mtu ambae sio mbunge
 
Huyo kwa uongo wake mkubwa kwamba alikuwa anayapitia mafaili sidhani kama anastahili nafasi yoyote ile ni bora angepiga kimya kuliko kujishushia hadhi kiasi kile.
Hivi anajisikiaje huko aliko?....mtu mzima kusema uwongo hadharani vile jamani
 
Kuna viherehere fulani ningetamani wafutwe kwenye uso wa siasa kabisa
1.ALLY APPI
2.MAKONDA
3.KENANY DC yule aliechapa wanafunzi
4.PROF MIJICHO KABUDI
5.Pro MPANGO
6.DOTTO WA HADHINA
 
Kuna viherehere fulani ningetamani wafutwe kwenye uso wa siasa kabisa
1.ALLY APPI
2.MAKONDA
3.KENANY DC yule aliechapa wanafunzi
4.PROF MIJICHO KABUDI
5.Pro MPANGO
6.DOTTO WA HADHINA
Kuna yule DC wa HAI
JERY Muro siku hizi naona kaanza kupata akili

Twende na mama...
 
Dr. Emmamuel Nchimbi anapewa nafasi kubwa ya kuchukua mikoba ya Mama Samia Suluhu ambaye muda wowote kuanzia sasa ataapishwa kuwa Rais wa JMT... Nchimbi ameonekana kama mtu makini, mwenye uwezo na uzoefu katika utumishi....
Ni bora kabudi kuweka walarushwa hawa tutaishia pabaya
 
Mkisikia NCHIMBI kawa makamu wa Rais; mjue mkwere/ Vasco Dagama amerudi kutawala na mafisadi watarudi kwa kasi ya 5G!!!
Hivi kwani RA kasi aliyorudi nayo mbona imeishinda ya awali na wapinga ubeberu wameufyata!!
 
emoji41.png
emoji41.png
emoji41.png
emoji41.png
Izi sasa dharau kwa kipenzi cha watu msiopenda watu wawe huru. Watu kama nyinyi ndo wale wanaotaka kusujudiwa

Kipenzi cha watu ambae aliachia wauza madawa ya kulevya yakaribu nguvu kazi ya vijana wetu ambao wameharibika kwa kutumia hayo madawa?
 
Labda inawezekana alidanganywa na watu wa karibu na jiwe na yeye akaubeba huo uongo kama ulivyo na kutulisha Watanzania bila kukumbuka wosia wa Kikwete, “Za kuambiwa.......”
Hivi anajisikiaje huko aliko?....mtu mzima kusema uwongo hadharani vile jamani
 
Kipenzi cha watu ambae aliachia wauza madawa ya kulevya yakaribu nguvu kazi ya vijana wetu ambao wameharibika kwa kutumia hayo madawa?
Hakuna awamu ambayo haikuwa na mapungufu. Watumiaji madawa hawakuisha kipindi cha JK hata ss wapo na kuna mengi ya kulalamikiwa sasa ambayo wakati wa JK yalikuwepo ila si kwa kiwango cha sasa. Heshimu viongozi wako waliopita.
 
Viongozi waliopita wataheshimiwa kwa kutokana na matendo na jinsi walivyoishi walipokuwa madarakani!!
 
Back
Top Bottom