Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Jinsia itatusaidia nini watanzania? sisi tunataka maendeleo na siyo jinsia, hata wakiwa wanawake wote muhimu walete maendeleo na siyo maigizo na jinsia, kuongoza nchi siyo sawa na kuongoza kikoba.Kuna kila dalili awamu hii pia makamu wa Rais akawa mwanamama (bahati iliyoje?). Kuanzia asubuhi nilipofungulia vyombo kadhaa vya habari kufuatilia yanayoendelea nimesikia wanazuoni, wachambuzi nk wakilitajana jina la Dk Asha Rose Migiro kama VP ajaye.
Itakuwa ni nafasi kubwa sana katika kuelekea usawa wa kijinsia na kuwapa wanawake mamlaka makubwa wanawake nchini.
Kila la kheri mama zetu