Jinsia itatusaidia nini watanzania? sisi tunataka maendeleo na siyo jinsia, hata wakiwa wanawake wote muhimu walete maendeleo na siyo maigizo na jinsia, kuongoza nchi siyo sawa na kuongoza kikoba.
 
Ni mara chache mwanamke anaweza kukuletea matokeo mazur kwenye mambo mazito , kibaya Zaid nchi yetu haina mfumo mzur wa kikatiba , maamuz mengi ya Tija yananetegemea Tamko la raisi na sio katiba inasemaje , hii inamfanya kiongozi kuangushiwa jumba la lawama pale anapokuwa mkali kwenye Jambo Fulani...... Wanawake hawawezi kubeba huu mzigo , wakuu wa vitengo wanaenda kuburuza pesa mtindo mmoja
 
Nasubiria kwa hamu..kuona dira..tujue..kwenye absence ya mwamba ccm wana behave vip katika era hii mpya

Yaan yaaan wakituwekea watu wenye kariba za kina januari..

TUMEKWISHAAAAA
 
haiwezekan hata kama samia atamchagua bungen hatumpitishi lazima kuwe na usawa
Mbona marais waliopita na makamu wao walikuwa wanaume, huo ndio usawa?
Ni halali kabisa kisheria na kikatiba kama Mama Samia atateua mwanamke kuwa makamu wa rais.
 
Kwa kuwa miradi mingi ya Magufuli asilimia 90 ilikuwa ni ya Ujenzi (Construction) ni vizuri ikamilishwe ili kutimiza hiyo ndoto yake, mtu pekee ambaye siyo mwana siasa na ambaye anaishi ndoto ya Magufuli ni huyu Mfugale, abustiwe tu kidogo na CHEO cha Umakamu Wa Rai's, na KAZI za Magufuli zitaisha, ana Siri zote za mambo ya Ujenzi na kile Magu allkuwa akikihitaji, mama Samia usilete makamu wa Rai's mwana siasa, Achana nao, leta jembe linalomuishi Magu na Kukamilisha ndoto zake, nawakilisha...
 
Naye siku sio nyingi utamsikia anapumulia mashine.apimwe afya kwanza tumechoka
 
nch inajengwa na sheria na taratibu na si mfugale. Bunge linaamua n miradi gani ijengwe na si mfugale au maguufuli, huo ulikuwa ni udikiteta. acha mawazo ya kitoto
 
Dr. Bashiru Ally Kakurwa(engine kubwa) anafaa sana, ni mwadilifu, mzalendo wa kweli anaweza kabisa kuivusha nchi ktk kipindi hiki kilicho baki ktk nafasi ya Makamu wa Rais, tusiangalie mambo mengine amabayo hayana msingi ktk kuongoza nchi yetu.
tunachotaka sisi watanzania ni Kiongozi bora sio Mchungaji wala shek.
Dr. Bashiru akiwa Makamu wa Rais atatuvusha salama.
 
Haiwezekani,
narudia Tena haiwezekani.

Haiwezekani kwa kamati kuu ya ccm impitishe mpinzani awe Makamu wa RAISI wa JMT[emoji1]
 
nch inajengwa na sheria na taratibu na si mfugale. Bunge linaamua n miradi gani ijengwe na si mfugale au maguufuli, huo ulikuwa ni udikiteta. acha mawazo ya kitoto
Sheria bila usimamizi ndo zilitufikisha hapa tulipo
 
Siri za Kamisheni zao au siri za Jizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…