Tanzania sio madaraja peke yake Nchi imegawanyika tunataka mtu anayeweza kuponya haya makovu
 
Huyu nae hatakuwa na muda mrefu atatumbuliwa jumla, kuondokewa na rafiki zake vipenzi Hayati Dr. John Pombe Magufuli na Balozi Kijazi kwa muda mfupi huu sidhani kama atakaa muda mrefu.
 
Nyumbu hovyo kabisa , Mara hii Lissu kawa makamu wa rais? Wa nchi gani Tena? Kaacha urais Sasa kawa makamu, akiliza nyumbu hamjielewi Sasa mnawaza vyeo kwenye serikali ya CCM.
 
Wewe duanzi kweli ,kwani maisha ni ujenzi tu kana kwamba hakuna sekta zingine,zinazohitajika kuendelezwa?
 
Mbunge anaweza kuwa VP, halafu nafasi yake ya ubunge ikabaki wazi kukawa na uchaguzi mdogo!

Kwa mtazamo wangu nadhani VP atakuwa ni mtu mzoefu sana; usishangae akatokana na mawaziri waliokuwa awamu ya nne hasa kwa vile king maker sasa hivi ni Kikwete.
 
Nyumbu hovyo kabisa , Mara hii Lissu kawa makamu wa rais? Wa nchi gani Tena? Kaacha urais Sasa kawa makamu, akiliza nyumbu hamjielewi Sasa mnawaza vyeo kwenye serikali ya CCM.
Wewe mataga mbona unatokwa na povu kiasi hiki!!! CCM pekee ndiyo yenye haki ya kuitawala nchi hii na matope yote hayo yaliyojaa vichwani mwenu?
 
Nilitaman sanaa, Kwaajili ya Kuleta Nchi pamoja

Kuponya hali inayoendelea.

T.Lissu apewe umakamo.
HAKUNA u VP wa kuhurumiwa Kama chadema wanataka u VP wamlete yule waliyemteuwa wakati wa uchaguzi tuone Kama kweli walikuwa tayari poyoyo yule kuwa makamu wa rais.
 
Kwamba CCM itapendekeza mwanachama yoyote wa upinzani awe VP, hizo ni ndoto za mchana kweupe. Tena ndoto zilizochanganyika na kuumwa kwa malaria kali.

Halafu, hii habari kwamba 'nchi inahitaji maridhiano' ni ya kushangaza sana. Hakuna mgawanyiko wowote wa wananchi kama baadhi ya watu wanavyotaka kujiaminisha. Maridhiano kati ya nani na nani? Kwa sababu zipi? Hebu tuwe serious kidogo. Kikundi kidogo cha watu wachache wanabishana mitandaoni humu then wewe unasema 'nchi imegawanyika inahitaji maridhiano'? Kweli?

Nadhani ni wakati sasa wanachama na viongozi wa vyama vya upinzani waache cheap politics, wajikite kwenye mambo makubwa ya msingi na yenye maslahi mapana, ambayo ni: 1). Katiba Mpya 2). Tume Huru ya Uchaguzi 3). Sera ambazo zinagusa maslahi ya wanyonge na zielezwe kwa lugha rahisi inayoeleweka kwa walengwa.
 
HESA
HESABU FINYU MZEE
 
Wewe duanzi kweli ,kwani maisha ni ujenzi tu kana kwamba hakuna sekta zingine,zinazohitajika kuendelezwa?
We ni duansi, bila Ujenzi kuna dunia ipi, ni wapi ambpo hapakujengwa, kma Ujenzi si kitu mbona unalala kwenye nyumba nenda ukaishi msituni basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…