Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Hebu mtulie basi..
Hii mi nchi sio kile chama cha kijani!
Polepole hatoshi hata kwa kijiko
 
Wanajamvi naandika haya nikijielewa na akili timamu Ndugu Humphrey Polepole ndiye atakuwa vice president wa Tanzania.

Nimesogezewa hii habari nyeti na rafiki yangu yupo kitengoni sitamtaja (very very reliable source) due to the sensitivity of the matter.

Na kama hatajaguliwa basi watakuwa wamesitisha uteuzi huo kwasababu imevuja.

Naombeni mniamin
Habari Mbaya kwa makamanda!
 
Back
Top Bottom