Hmmmm.. humtakiNdugai ni shemeji yako nini?
Kwakweli Membe angekuwa ametulia ndani ya CCM basi hii nafasi ya VP ingekuwa ni yake......tatizo haijui kesho yakeMembe asingebugi kwenda ACT, alikuwa anachukua nafasi.
We mpuuzi kweli ww! Zito unataka ndugu zako wacontrol serikali zote mbili eeh! Hautapata hiyo nafasi tena na utapeli wako! Huyo assad ndio nani kwanza asiye na adabu na uzalendo ambaye kama juha anakwenda kwa wazungu kuisema vibaya serikali na bunge letu kama anavyofanya tundu na zito afu unataka awe vp, we mgonjwa kweli ww! Labda kama vp kwa mambo yenu ya binafsi lakini kamwe siyo ya kitaifa! Huyo hana nafasi kwa serikali inayokwenda kwa kasi hii!Habari wana Jamvi,
Katika fikra na matamanio yangu ni kumwona huyu bwana Dk. Assad aliekuwa Mkaguzi Mkuu Wa Serikali kurudishwa ndani ya system. Huyu ukiachilia mbali elimu na uwezo aliokua nao, amedhihirusha sana kuwa anafaa kushika nyadhifa za juu katika serikali.
Miongoni mwa sifa ni;
1) Msomi wa hali ya juu na anaeitendea haki elimu yake ya Phd (Sio mtapia tumbo kama wateuliwa wengine wenye Phd zao).
2) Amedhihirisha kusimamia vizuri na kwa weledi mkubwa sana matumizi ya hela za wananchi ambazo serikali inatumia. Kufikia hatua alikua tayari kupoteza kazi yake kwa kusimamia msimamo wake na kukataa kutumia/kuamrishwa na mihimili ya nchi.
3) Amediriki kuikosoa serikali na bunge pindi lilipoji umauma juu ya matumizi ya Sh Trillion 1.2 na lilipotaka kuficha baadhi ya makosa ya matumizi ya pesa za umma.
4) Muadilifu na Mkweli.
5) Msimamizi mzuri wa hela za umma.
6) Hana maswala ya kuwa na team (Hayupo team CCM MPYA wala CCM KONGWE). Team hizi sasa hivi zinapambana kuona mtu wao anashikilia hicho kiti, na team itakayo shindwa basi itakufanyia hujuma kuelekea 2025 kuliko hujuma za vyama vya upinzani.
7) Hana makuu wala kujionesha (CAG alikua akiendesha Toyota IST).
8) Hana sifa ya kutumia cheo chake kukandamiza watu au kujipatia hela (Waliokua watendaji wake katika Ofisi Za CAG wanamjua na kusikitika kumpoteza).
9) Hana Kashfa wala figisu.
Tafakari ushauri huu, utani shukuru baadae moyoni mwako. Huyu mtu ni muhimu sana kwetu wananchi kama msimamizi wa hela zetu za kodi na atakua mshauri bora sana kwako.
Wako mtiifu,
Alexander The Great
Mama una gubu!We mpuuzi kweli ww! Zito unataka ndugu zako wacontrol serikali zote mbili eeh! Hautapata hiyo nafasi tena na utapeli wako! Huyo assad ndio nani kwanza asiye na adabu na uzalendo ambaye kama juha anakwenda kwa wazungu kuisema vibaya serikali na bunge letu kama anavyofanya tundu na zito afu unataka awe vp, we mgonjwa kweli ww! Labda kama vp kwa mambo yenu ya binafsi lakini kamwe siyo ya kitaifa! Huyo hana nafasi kwa serikali inayokwenda kwa kasi hii!
Hatubebi mizigo sisi na upuuzi wa huyo assad na shem wake zito!Mama una gubu!
Tatizo nini?
Upuuzi wa assad ni upi?Hatubebi mizigo sisi na upuuzi wa huyo assad na shem wake zito!
Hapa kwenye katibu wa wizara ya fedha au treasure wa serikali misimamo yake naikubaliHuyu Mwamba arudi awe mkaguzi mkuu wa serikali au waziri wa fedha
No offense, ingawa sioni impact kwangu mimi binafsi ila naamini hawawezi weka muoslamu hapo. Nafasi ya mkristo hiyo...wanajua wakiweka muislamu piga ua kuna topic za kuligawa taifa hazitakua zinakwepeka...they are not dumb to let this topic drags on...Habari wana Jamvi,
Katika fikra na matamanio yangu ni kumwona huyu bwana Dk. Assad aliekuwa Mkaguzi Mkuu Wa Serikali kurudishwa ndani ya system. Huyu ukiachilia mbali elimu na uwezo aliokua nao, amedhihirusha sana kuwa anafaa kushika nyadhifa za juu katika serikali.
Miongoni mwa sifa ni;
1) Msomi wa hali ya juu na anaeitendea haki elimu yake ya Phd (Sio mtapia tumbo kama wateuliwa wengine wenye Phd zao).
2) Amedhihirisha kusimamia vizuri na kwa weledi mkubwa sana matumizi ya hela za wananchi ambazo serikali inatumia. Kufikia hatua alikua tayari kupoteza kazi yake kwa kusimamia msimamo wake na kukataa kutumia/kuamrishwa na mihimili ya nchi.
3) Amediriki kuikosoa serikali na bunge pindi lilipoji umauma juu ya matumizi ya Sh Trillion 1.2 na lilipotaka kuficha baadhi ya makosa ya matumizi ya pesa za umma.
4) Muadilifu, Mkweli na Muwazi.
5) Msimamizi mzuri wa hela za umma.
6) Hana maswala ya kuwa na team (Hayupo team CCM MPYA wala CCM KONGWE). Team hizi sasa hivi zinapambana kuona mtu wao anashikilia hicho kiti, na team itakayo shindwa basi itakufanyia hujuma kuelekea 2025 kuliko hujuma za vyama vya upinzani.
7) Hana makuu wala kujionesha (CAG alikua akiendesha Toyota IST).
8) Hana sifa ya kutumia cheo chake kukandamiza watu au kujipatia hela (Waliokua watendaji wake katika Ofisi Za CAG wanamjua na kusikitika kumpoteza).
9) Hana Kashfa wala figisu wala chuki (Hana visasi na utanijua mimi nani).
10) Anajua kazi zake kwa hali ya juu (Mafisadi ndani ya serikali watachemka matumbo na kuharisha huyu bwana akirudi serikalini, maana hakuna wakumdanganya kwenye swala la mahesabu na matumizi -Bunge nalo lijipange kwake huyu mtu, hawana cha kumdanganya).
11) Miradi alioacha Marehemu Magufuli ni mingi sana, bila msimamizi mzuri katika mahesabu na matumizi ya hela basi ufisadi utakithiri kupita kiasi.
12) Kuna tetesi za hela kuibiwa mara baada tu ya Rais kufariki dunia, kwa kigezo zimetumika katika ununuzi wa mashine za kumtibu Rais, huyu mtu atahakikisha UKWELI JUU YA HILI.
Tafakari ushauri huu, utani shukuru baadae moyoni mwako. Huyu mtu ni muhimu sana kwetu wananchi kama msimamizi wa hela zetu za kodi na atakua mshauri bora sana kwako.
Wako mtiifu,
Alexander The Great