Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Ikitokea prof palamagamba kabudi amekuwa vice president naomba asiache asili yake, kucheka sekunde mbili tu tena kwa kukenua tu na kufumba mdomo, awe mkali kwa maslahi mapana ya taifa kama alivyo katika hotuba zake.
ongezeni na yenu wana JF
Naunga mkono hoja! Huyu atamsaidia sana mama yetu!
 
Usiwadharau
Soma Yeremia 31: 22.
Mkuu sijawadharau, wanawake (Wamama) wakiwa kwenye uongozi mara nyingi ni miongoni mwa wanaofanya vizuri, mfano mzuri aliyekuwa Rais wa Liberia mama Ellen Johnson Sirleaf, Rais wa Singapore, tena huyu mmama wa Singapore namkubali kinoma, uchumi umetulia na wako vizuri.
 
Mkuu sijawadharau, wanawake (Wamama) wakiwa kwenye uongozi mara nyingi ni miongoni mwa wanaofanya vizuri, mfano mzuri aliyekuwa rais wa Liberia mama Ellen Johnson Sirleaf, rais wa Singapore, tena huyu mmama wa Singapore namkubali kinoma, uchumi umetulia na wako vizuri.
Che mittoga Naamini umenielewa!
 
Back
Top Bottom