KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hiyo turufu umeipoteza mkuu Joka...mimi naweka karata yangu kwa majaliwa kuwa VP.
..halafu tutapata PM mpya mwenye elimu/shule nzito.
Haiwezekani kamwe Majaliwa kuwa VP wakati huu kwa sababu dhaifu, lakini ni sababu.
Atabaki kuwa Waziri Mkuu, lakini uongo aliousema akijua ni uongo umempunguzia sana heshima aliyokuwa nayo.
Ni bora kabisa angenyamaza na kuendelea na ziara yake bila kujali maswali aliyoulizwa.