Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Kwani Mzee Magu alichaguliwa au kushinikizwa kumchagua mtu fulani kuwa makamo wake?



Naona miruzi imekuwa mingi!
Hiyo ni kazi ya Mama Samia, tena nafikiri angemchagua Mama Janeth Magufuli tu mfyuuuuu!
 
Tupeni mrejesho wa maazimio ya kikao hicho. Maana nimeona kuwa Slow Slow ataongea ila uzi ukawa umechacha hamna kinachoendelea.
 
Hiyo ni kazi ya Mama Samia, tena nafikiri angemchagua Mama Janeth Magufuli tu mfyuuuuu!

..Magufuli aliwahi kusema chaguo lake kwa VP lilikuwa Hussein Mwinyi lakini dakika za mwisho chama kikampendekeza Mama Samia Suluhu.
 
Tulia mkuu, pametokea mkanganyiko uliofanywa na modrator aliyefanya uamzi wa kuunganisha mada bila ya kupima uhusiano wa mada mbili.

Sitaki tuanzishe malumbano hapa kwa makosa ya mtu mwingine.
Sawa [emoji120]
 
Back
Top Bottom