Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeisha hiyo😍Suala la kujua nani atakuwa nani ni jukumu la mamlaka ya uteuzi na chama husika and if so you can influence nothing on that matter
Mnawaza mbaliiiWakatoliki mnahangaika sana..
Mnafikiri watu wajinga?
Unataka waturudishe tena Misri? Hao HATUWATAKI kila kitabu na zama zake hizi ni zama za akina Polepole,bashiru , Majaliwa akian Kinana, Makamba na vibabu wengine huu ni wakati wa kuondoka hata akina Mangula huu ni muda wa kustaafu, hatuwezi kuwa na wazee zama hizo za teknolojia ambao hata Kutwit hawajui ni kitu gani, wacha waendelee kulea wajukuu zao .Ccm asili ni muda wa kurudi kwenye nafasi.
Unataka waturudishe tena Misri? hao HATUWATAKI kila kitabu na zama zake hizi ni zama za akina Polepole,bashiru , Majaliwa akian Kinana, Makamba na vibabu wengine huu ni wakati wa kuondoka hata akina Mangula huu ni muda wa kustaafu,hatuwezi kuwa na wazee zama hizo za teknolojia ambao hata Kutwit hawajui ni kitu gani, wacha waendelee kulea wajukuu zao .
Hivi kumbe wakati ule wa Mh Ali Hassan Mwinyi Ndg John Malecela alibadili DiniMbona kikwete na mwinyi makamu wake wote walikuwa waislamu na wanaume hawakuwa jinsia tofauti
Umeandika wakati uliopita mkuu.Unataka waturudishe tena Misri? hao HATUWATAKI kila kitabu na zama zake hizi ni zama za akina Polepole,bashiru , Majaliwa akian Kinana, Makamba na vibabu wengine huu ni wakati wa kuondoka hata akina Mangula huu ni muda wa kustaafu,hatuwezi kuwa na wazee zama hizo za teknolojia ambao hata Kutwit hawajui ni kitu gani, wacha waendelee kulea wajukuu zao .
Amalize kwanza kesi yake na mke wa MshumbushiBaada ya kifo, cha mpendwa wetu Dk John Pombe Magufuli... Tanzania kwa sasa tunalo ombwe kubwa LA kiongozi mwenye uthubutu na utashi wa kukemea maovu, ili kumsaidia rais wetu mteule bi samia, .....hivyo nampendekeza Dr slaa kuwa makamu wa rais wa Tanzania
Namkumbuka Kwa kubomoa Nyumba bila huruma mpaka alipopigwa stop na marehem Rais .Ila pia anaonekana anaweza kuwa na mtandao .my opinionOooh inawezekana Mangula
1. Majaliwa Kassim
2. Januari makamba
3. Somebody' Nchimbi
Mkeka utatoa shilingi huu...