Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Ccm asili ni muda wa kurudi kwenye nafasi.
Unataka waturudishe tena Misri? Hao HATUWATAKI kila kitabu na zama zake hizi ni zama za akina Polepole,bashiru , Majaliwa akian Kinana, Makamba na vibabu wengine huu ni wakati wa kuondoka hata akina Mangula huu ni muda wa kustaafu, hatuwezi kuwa na wazee zama hizo za teknolojia ambao hata Kutwit hawajui ni kitu gani, wacha waendelee kulea wajukuu zao .
 
Unataka waturudishe tena Misri? hao HATUWATAKI kila kitabu na zama zake hizi ni zama za akina Polepole,bashiru , Majaliwa akian Kinana, Makamba na vibabu wengine huu ni wakati wa kuondoka hata akina Mangula huu ni muda wa kustaafu,hatuwezi kuwa na wazee zama hizo za teknolojia ambao hata Kutwit hawajui ni kitu gani, wacha waendelee kulea wajukuu zao .

Utakuwa bado hujakubali kuwa jiwe is no more:



Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Mbona kikwete na mwinyi makamu wake wote walikuwa waislamu na wanaume hawakuwa jinsia tofauti
Hivi kumbe wakati ule wa Mh Ali Hassan Mwinyi Ndg John Malecela alibadili Dini
hii kitu tukumbushane, kwani kuwa na Bi Tatu Ntimizi ndio kubadili jina?
Kwa Kikwete namkumbuka Gharib Bilal na ilikuwa vigumu kumpata Mkristu toka Zenj
 
Unataka waturudishe tena Misri? hao HATUWATAKI kila kitabu na zama zake hizi ni zama za akina Polepole,bashiru , Majaliwa akian Kinana, Makamba na vibabu wengine huu ni wakati wa kuondoka hata akina Mangula huu ni muda wa kustaafu,hatuwezi kuwa na wazee zama hizo za teknolojia ambao hata Kutwit hawajui ni kitu gani, wacha waendelee kulea wajukuu zao .
Umeandika wakati uliopita mkuu.
 
Baada ya kifo, cha mpendwa wetu Dk John Pombe Magufuli... Tanzania kwa sasa tunalo ombwe kubwa LA kiongozi mwenye uthubutu na utashi wa kukemea maovu, ili kumsaidia rais wetu mteule bi samia, .....hivyo nampendekeza Dr slaa kuwa makamu wa rais wa Tanzania
Amalize kwanza kesi yake na mke wa Mshumbushi
 
Na wote waliounga juhudi mtetezi wao hayupo...na wale ambao bado hawajapata teuzi wajiandae kisaikolojia maana wenye chama chao wamewapania hatari...Huyo Slaa ataishia ubalozi tu...
 
Kwani Tanzania tuna upungufu wa wanawake wenye uwezo wa kufanya kazi kama hiyo?

Hakuna anayeuliza maswali wakati nafasi zote za juu zinaposhikiliwa na wanaume, kwa nini wakati huu na enzi hii tuendelee kuwa katika ujima wa kuhoji uwezo wa uongozi wa binaadam wenzetu kwa misingi tu ya wao kuwa wanawake.

Rais Samia asiogope kumpendekeza kwa Kamati Kuu ya Chama chake mtu anayemwona anafaa kuwa msaidizi wake kwa kuhofia tu kwamba ni mwanamke.

Tanzania iwe na ujasiri wa kuwa nchi ya kwanza duniani kwa kuongozwa na wanawake katika safu yao ya juu kabisa kiuongozi.
 
1. Majaliwa Kassim
2. Januari makamba
3. Somebody' Nchimbi

Mkeka utatoa shilingi huu...
 
Back
Top Bottom