Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Kwani Tanzania tuna upungufu wa wanawake wenye uwezo wa kufanya kazi kama hiyo?

Hakuna anayeuliza maswali wakati nafasi zote za juu zinaposhikiliwa na wanaume, kwa nini wakati huu na enzi hii tuendelee kuwa katika ujima wa kuhoji uwezo wa uongozi wa binaadam wenzetu kwa misingi tu ya wao kuwa wanawake.

Rais Samia asiogope kumpendekeza kwa Kamati Kuu ya Chama chake mtu anayemwona anafaa kuwa msaidizi wake kwa kuhofia tu kwamba ni mwanamke.

Tanzania iwe na ujasiri wa kuwa nchi ya kwanza duniani kwa kuongozwa na wanawake katika safu yao ya juu kabisa kiuongozi.
Lukuvi
Membe
 
Huwezi amini mara anachaguliwa Dkt Ummy Mwalimu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si zamu yao bana?! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Nimefarijika sana Kuwaona Marais Wastaafu ambao pia Walikuwa WENYEVITI wa CCM Katika KIKAO cha KAMATI KUU. Uwepo wao ni MUHIMU sana ili Aweze Kupatika MTU sahihi Muadilifu, Mchapakazi Si Mkabila wa Kumsaidia Rais Wetu Mama SAMIA.
Kumekuwa na TETESI za Kutafuta UONGOZI kwa RUSHWA.
 
Katika wote waliotajwa hakuna hata mmoja anaefaa bora madam President akachukue mzee mmoja kitaa huko kuliko wachumia tumbo hao,tena hawakawii kumrestisha ili urais ubaki wao
 
Kwani Mzee Magu alichaguliwa au kushinikizwa kumchagua mtu fulani kuwa makamo wake?

Naona miruzi imekuwa mingi!
 
Huwezi amini mara anachaguliwa Dkt Ummy Mwalimu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si zamu yao bana?! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Eeenh Heeee,

Hakuna popote palipoandikwa kuwa ni "zamu yao", hilo umelizusha wewe.

Kama Rais ataona pendekezo lako, na akakubaliana nawe, sina shida naye. Bila shaka kutakuwa na vigezo atakavokuwa amevifikia.
 
Kwani kuna kifungu chochote nimetaja kinasema hivyo, acha ushamba soma tena post.
 
Kwan uzi unahusu wanawake huu au nan wa kua vice[emoji3][emoji3]
Hapana.

Ila pametokea mkanganyiko kwa uliosababishwa na moderator aliyeamua kuchanganya niliyokuwa nimeweka kama mada.

Simlalamikii moderator, lakini nadhani hakufanya uamzi mzuri.
 
Kwani kuna kifungu chochote nimetaja kinasema hivyo, acha ushamba soma tena post.
Tulia mkuu, pametokea mkanganyiko uliofanywa na modrator aliyefanya uamzi wa kuunganisha mada bila ya kupima uhusiano wa mada mbili.

Sitaki tuanzishe malumbano hapa kwa makosa ya mtu mwingine.
 
Yeyote watakayeona anafaa wananchi hatuna budi kukubaliana na maamuzi yao maana wao wanawafahamu viongozi wa juu kuliko sisi wananchi wa kawaida, ngoja tusubiri tuone busara zao tuliowapa mamlaka hiyo.
 
Really?

Huo ndiyo naita ujinga. Uongozi siyo dini. Anayefaa ni yule ambaye anaiweza hiyo kazi kuliko mwingine yoyote. Wapi uliona CV ya kazi ikiwa na dini kama sifa mojawapo? Kama dini ni sifa ya hiyo kazi, kwa nini wewe usiombe uteuliwa kwa vile ni mkristo!
Kwahiyo hakuna Mkristo anayefaa hapo katika Wakristo wote mpaka ujaze Waislam kwenye nafasi hizo zote za juu?
 
Dr. Bashiru hatapotea leo wala kesho kwenye hizi siasa za Tanzania. Mark my words. Tukumbuke ndio uchaguzi wa mwisho wa JPM. haikuwa bahati mbaya. It was for a good reason
 
Back
Top Bottom