DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
LukuviKwani Tanzania tuna upungufu wa wanawake wenye uwezo wa kufanya kazi kama hiyo?
Hakuna anayeuliza maswali wakati nafasi zote za juu zinaposhikiliwa na wanaume, kwa nini wakati huu na enzi hii tuendelee kuwa katika ujima wa kuhoji uwezo wa uongozi wa binaadam wenzetu kwa misingi tu ya wao kuwa wanawake.
Rais Samia asiogope kumpendekeza kwa Kamati Kuu ya Chama chake mtu anayemwona anafaa kuwa msaidizi wake kwa kuhofia tu kwamba ni mwanamke.
Tanzania iwe na ujasiri wa kuwa nchi ya kwanza duniani kwa kuongozwa na wanawake katika safu yao ya juu kabisa kiuongozi.
Membe