Sema msianze mambo yenu ya udini.Zamu ya waislamu kutesa. Tuliwanyanasa sana na hatukuwahi kuwasikiliza zaidi ya kuwakejeli kuwa hawana shule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema msianze mambo yenu ya udini.Zamu ya waislamu kutesa. Tuliwanyanasa sana na hatukuwahi kuwasikiliza zaidi ya kuwakejeli kuwa hawana shule
Kwani mzee Mgaya anasemaje?Hapa inatumika sayansi zaidi na wale wenye akili za choo bila mlango siyo rahisi kuelewa.
Team Membe na Team Lowassa zimeibuka kivingine kuusaka umakamu wa Rais wa JMT.
Waangalie kwa makini January, Nchimbi, Bashe na Nape utauelewa mchezo.
JK sidhani kama safari hii atawamudu kama ilivyokuwa 2015.
Maendeleo hayana vyama!
Naona watu wa Makamba Sasa hivi mnapiga promo 24/7.Kuna kundi la watu linahangaika kuchafua wengine ili kuhakikisha jambo lao linafanikiwa... Huo ni mtazamo
Wenye nafasi nzuri ya kuchaguliwa kuwa VP ni wale wote ambao walikuwa (wakimya) hawana nafasi ya kuongea chochote katika uongozi wa JPM + hekima zao na busara zao...
Makamba Jr yupo na nafasi nzuri katika hilo... Sina shaka huyu ndiye VP ajaye
Ni kwasababu anafaa... Na mimi binafsi sina kabisa ushabiki wala utimu... Makamba anafaa zaidi ya sana... Hakuna mwengine... Na naomba sana Mwenyezi Mungu ajaalie awe yeye kweliNaona watu wa makamba Sasa hivi mnapiga promo 24/7.
Yote kwa yote atayepata afanye kazi vizuri tupate Maendeleo.
Enzi ya Kikwete si alikuwepo pia? Na tulikula bata kama kawaida, huyu ni mfata upepo tu, ataangalia upepo wa alie juu yake ndio atakuwa hivyo!Huyu huyu Chawa Mkuu unataka akaze, mzee wa mheshimiwa mungu
HeheheheIkitokea prof palamagamba kabudi amekuwa vice president naomba asiache asili yake, kucheka sekunde mbili tu tena kwa kukenua tu na kufumba mdomo, awe mkali kwa maslahi mapana ya taifa kama alivyo katika hotuba zake.
ongezeni na yenu wana JF
Mkuu tumwagie data hapa walioingia kumi boraHata kwenye kumi Bora hakuingia