Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Mwigulu japokuwa mwana Yanga mwenzangu lakini hafai kuwa makomo wa Rais ikizingatia nafasi aliyopo be mkubwa pale mjukumu mengi atayafanya mwanaume
 
Hapa inatumika sayansi zaidi na wale wenye akili za choo bila mlango siyo rahisi kuelewa.

Team Membe na Team Lowassa zimeibuka kivingine kuusaka umakamu wa Rais wa JMT.

Waangalie kwa makini January, Nchimbi, Bashe na Nape utauelewa mchezo.
JK sidhani kama safari hii atawamudu kama ilivyokuwa 2015.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwani mzee Mgaya anasemaje?

Je VP kuhusu wale ndugu zako wa praise and worship?
 
Hizi team mbili hazina sababu ya vita. Wote wana common enemy.
 
Kuna kundi la watu linahangaika kuchafua wengine ili kuhakikisha jambo lao linafanikiwa... Huo ni mtazamo
Wenye nafasi nzuri ya kuchaguliwa kuwa VP ni wale wote ambao walikuwa (wakimya) hawana nafasi ya kuongea chochote katika uongozi wa JPM + hekima zao na busara zao...
Makamba Jr yupo na nafasi nzuri katika hilo... Sina shaka huyu ndiye VP ajaye
 
Naona watu wa Makamba Sasa hivi mnapiga promo 24/7.
Yote kwa yote atayepata afanye kazi vizuri tupate Maendeleo.
 
Naona watu wa makamba Sasa hivi mnapiga promo 24/7.
Yote kwa yote atayepata afanye kazi vizuri tupate Maendeleo.
Ni kwasababu anafaa... Na mimi binafsi sina kabisa ushabiki wala utimu... Makamba anafaa zaidi ya sana... Hakuna mwengine... Na naomba sana Mwenyezi Mungu ajaalie awe yeye kweli
 
Ikitokea prof Palamagamba Kabudi amekuwa vice president naomba asiache asili yake, kucheka sekunde mbili tu tena kwa kukenua tu na kufumba mdomo, awe mkali kwa maslahi mapana ya taifa kama alivyo katika hotuba zake.
ongezeni na yenu wana JF
 
Umesahau marehemu aliwaambia Pro Kabudi na LUKUVI hawawezi kuwa katika kiti hicho kwa ajili ya umri? Umesahau hayati alivyowananga?
 
Back
Top Bottom