Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Vp? Ana uwezo na Hana makundi. Anasoma Sana na Sio mwanamtandao. Is a kind and person we need.

Pengine hata Yule mwenzake shigela wa Tanga.
 
Hivi wewe unamchukia kafanya Baya Lipi, Hebu tuongee ukweli kabisaa
Simchukii, ila hatufai kama taifa ndio maana tulisha mtema kitambo na nafasi yake kuzibwa barabara! Tabia yake ya kupenyeza siri za taifa katika majukwaa yasiyolasmi na kwa zito pamoja na kuidharirisha nchi yetu kamwe hatutakuja kuipuuzia! Kilichomfanya asiwemo kwenye serikali yetu hii hata sasa bado kipo!
Tz tupo zaidi ya 60m who is Assad by the way! Hebu jifunzeni kutafuta maisha kwanjia zingine halali siyo kuwaza tu kupiga madeals na kutuibia!
 
Moderator mimi nlianzisha uzi kama huu Ijumaa au Jumamosi mkauondoa. Nlisema kabisa kuwa Nchimbi amerudishwa nchini kwa ajili ya nafasi moja kati ya Ukatibu Mkuu na Umakamu. Mliuuondoa kwa kigezo gani? Na ilikuwa ni tetesi ambazo ndizo zilizokuja kutokea?
 
Simchukii, ila hatufai kama taifa ndio maana tulisha mtema kitambo na nafasi yake kuzibwa barabara! Tabia yake ya kupenyeza siri za taifa katika majukwaa yasiyolasmi na kwa zito pamoja na kuidharirisha nchi yetu kamwe hatutakuja kuipuuzia! Kilichomfanya asiwemo kwenye serikali yetu hii hata sasa bado kipo!
Tz tupo zaidi ya 60m who is Assad by the way! Hebu jifunzeni kutafuta maisha kwanjia zingine halali siyo kuwaza tu kupiga madeals na kutuibia!
Hana tabia hiyo kabisa,
 
Picha hio chief.
771059b689ab3627198092f94c8c4451.jpg
 
Huyu mchawi atataka awe Rais before 2025.Na katiba yetu ilivyo kuwa Rais akifa,basi Vice anamalizia. Hakuna kipindi cha mpito. Nchimbi hana hiyana yule. Kumbuka bifu lake na Ipi Malecela,then Amina Chifupa.
 
Majaliwa anaweza akawepo pia, matamanio yangu ni kumuona rc wa simiyu akiwa katika nafasi mbili za juu za nchi yaani VP na PM
Yote kwa yote Mtaka kwa sasa hawezi kupata nafasi yoyote katika hizo mbili za VP na PM kwa mujibu wa katiba. Ni matamanio hewa. Kivipi?
-Katiba inataka makamu wa rais awe na umri usiopungua miaka 40. Kwa sasa Mtaka ana umri wa miaka 38.

-Pia katiba hiyo hiyo inamtaka Waziri mkuu awe ni mbunge wa kuchaguliwa kutoka jimbo. Mpaka sasa Mtaka sio mbunge.
 
Tuwekeni historia iliyonyooka achaguliwe Anna Makinda awe makamu wa raisi .mwakilishi raisi wa tanganyika katika jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Majaliwa anaweza akawepo pia, matamanio yangu ni kumuona rc wa simiyu akiwa katika nafasi mbili za juu za nchi yaani VP na PM
Mtaka ni mbunge wa jimbo gani? Kwenye uwaziri mkuu sahau kabisa
 
Back
Top Bottom