Ni wakati wa CCM kushikamana na kuwa kitu kimoja ili mtupatie VP ambaye atatenda haki kwa watanzania wote na atakayemshauri mama yetu kwa ustadi na weredi mkubwa. VP mwenye hofu ya Mungu ndiye atakayetufaa kwa sasa.
 
Ila katiba haimtambui VC president mwanamke?Mbona imetumia. His,he?

Waandishi wa katiba hawakuwahi kutarajia mwanamke anaweza kuwa Raisi au
It is true, but the problem within CCM is how to hold western Tanzania votes. Informed from this polical consideration we are likely to get a VP whom we did not think of.
 
Mmeanza kupiga ramli

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie .Apumzike kwa amani. Amina
 
Nasikia Wasukuma wanataka hiyo nafasi kwa udi na uvumba. Waziri wa ujenzi ndio chaguo lao ikishindikana basi hata Askofu Rashid au Makonda.
Haiwezekani wanataka waendelee kufugana, naimani mama Samia ataondoa huu ukabila uliojitokeza katika hii miaka sita.
Mana wamewekwa kila mahali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea kama mwanaume !

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Ni wakati wa CCM kushikamana na kuwa kitu kimoja ili mtupatie VP ambaye atatenda haki kwa watanzania wote na atakayemshauri mama yetu kwa ustadi na weredi mkubwa. VP mwenye hofu ya Mungu ndiye atakayetufaa kwa sasa.
Hakika,lkn kwa mawazo yangu Bashiru ,Mwigulu hao ni watu hawafai kabisa kuwepo kwenye level ya urais maana akili zao ni zilezile tu za kibaguzi
 
Yani hapa inatakiwa apangie kuanzia wakurungezi, wakuu wa wilaya na mkoa, makatibu wa wizara mbali mbali. Kiujumla tunahitaji total overall

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…