KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
William Lukuvi i think he is the Man for VP
Mkristo
Mtu wa Bara
Mzoefu
Jasiri nk
Mkristo
Mtu wa Bara
Mzoefu
Jasiri nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka Mpango tupakule Pinda hafai kabisaMi nafikiri akiwekwa hapo Dr mipango au mzeee Pinda hii inch ingekaa sawa.
Pamoja sanaBashiru kirusi fasta apigwe chini.
Hafai hata kidogoMwigulu ni mafia.
Haiwezekani wanataka waendelee kufugana, naimani mama Samia ataondoa huu ukabila uliojitokeza katika hii miaka sita.
Mana wamewekwa kila mahali.
Sent using Jamii Forums mobile
Na bunge likishindwa kuthibitisha pendekezo lake, atalivunja bunge na uchaguzi utarudiwa
Hii nayo Ni point ya kuongezea Ila sasa shida gharama.Itapendeza ,kufumba macho ,kubadilisha baadhi ya vifungu , makamu atoke vyama vya upinzani ikiwa ni pamoja kuvunja bunge , namanisha uchaguzi wa wabunge na madiwani urudiwe upya.
Lengo kuleta mshikamano wa kitaifa, hata huwe malaika kuongoza nchi ikiwa imagawanyika ni ngum Sana, wazee ,wastahafu kutoka CCM, hapa simameni imara kwa maslahi mapana ya taifa.
Not Mwanza againIt is true, but the problem within CCM is how to hold western Tanzania votes. Informed from this polical consideration we are likely to get a VP whom we did not think of.
Tunaihitaji kwa udi na uvumba, haiwezekani tuishie njiani awamu yetu.Nasikia Wasukuma wanataka hiyo nafasi kwa udi na uvumba. Waziri wa ujenzi ndio chaguo lao ikishindikana basi hata Askofu Rashid au Makonda.
Au Anna makindaChenge
Hapana,mama Muslim,vice atakuwa mkristoUmewaza kama mimi Chief, namuona January akienda kushine tena, japo inaweza isiwe kirahisi sana.
Kikwete Shein? Kikwete Ghalib?Hapana,mama Muslim,vice atakuwa mkristo
Sasa nyie mnamtaka nani?.Another dictator hilo....
Ili kujenga umoja wa kitaifa Tundu A Lissu atafaa kuwa makamu wa rais.Mi nashauri Mh. Samia amtafute makamu wake ambaye ni mchumi mmbobezi ambaye amtamsaidia kuurudisha uchumi kwenye mstari, lakini mtu mwenye ufahamu wa diplomasia vizuri itamsaidia pia kuurudisha mahusiano na nchi marafiki na mwisho mtu walau mwenye uzoefu wa shughuli za serikali.
Possible candidates include former CAG, former Katibu mkuu kiiongozi Sefue,
Proffesor Mkenda, Mizengo Pinda.
Mheshimiwa aepuke kutea makada ambao wanaweka chama mbele na sio taifa
Paul Makonda,Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndo anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.
Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais ukizingatia kuwa lazima atoke Bara kwani Mama Samia ametokea Zanzibar?
Mimi binafsi nahisi Mhesphimiwa January Makamba anafaa sana kuchukua hiyo nafasi ukizingatia ameshafanya kazi kwa karibu na Mama Samia kwa muda mrefu kipindi akiwa Waziri.
R.I.P Magufuli.
Ukarimu gani? Kutishia watu watafungwa ndo ukarimu??Mwigulu saw this coming akaanza jifanya mkarimu mtandaoni
Mama Samia wa Zanzibar. Tulikuwa hatuangalii jiografia lkn.Rais Pwani na makamu wa Rais iwe Pwani tena?
Nakuunga mkono.Nape Nnauye.