Huyo aliyekuwa anakopesha mikopo kwa upendeleo ? Mchagga anapewa mkopo mkubwa wengine wanapewa kiduchu. Pole sana
 
Kuendesha nchi si sawa na kuendesha benki
Kumbuka kwenye kuendesha nchi unakuwa mpaka kiongozi wa wenye vichwa kigumu,na wahuni wa aina mbalimbali
 
Hatuwezi kuwaepuka kwani katika society zao 70% wanaelimu na wanahitajika katika Nyanja mbali mbali. Ma kabila mengi wenye elimu ni 30-50% ya kabila zima.
Siku hizi makabila yote wameenda shule, uongozi kama nafasi ya urais elimu tu sio kigezo pekee, kwa wachaga hawafai kupewa uongozi wa juu, wana ukabila kama wasukuma tu, ila wachaga wamedhidi mnooo
 
Ili iweje ! Huko CRDB aliondoka kwa nini?

Ni wakati wa wazee kupumzika mwenzie nae kaibukia TLS huko
 
Tutaupinga kwa nguvu zote bila kujali itukadi. Makabila makubwa yametupa funzo kubwa kuyaamini tena tutakuwa tunarudia kosa la marehemu.
1.Wachaga
2.Wasukuma
3.Wanyakyusa
4.Wagogo
5.Wahaya
Mtusamehe ila hatutarudia tena.
Wanyakyusa tumefanya nini tena jamani..[emoji3][emoji3]
 
Ajira za wasukuma katika vitengo nyeti zilikuwa hazitangazwi walikuwa wanachomekwa tu na mkulu,ndani ya miaka mi5 ni wengi ajabu tuna wafahamu
 
sikuiz makabila yote wameenda shule, uongozi kama nafasi ya urais elimu tu sio kigezo pekee, kwa wachaga hawafai kupewa uongozi wa juu, wana ukabila kama wasukuma tu, ila wachaga wamedhidi mnooo
Tuliza mzuka basi kwanza msiba uishe
 
Haya basi tuwape wapare na masai
Maana wachaga hamuwataki
 
Makamu wa Rais atakuwa "Mgogo" yule mwana-ccm anayechukiwa zaidi na wapinzani, alikuwa karibu sana na marehemu JPM.

Watamchagua huyo, licha ya mambo mengine ni kuiendeleza Dodoma kuwa Makao Makuu pale alipoishia JPM.

Baada ya yeye kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais, Bunge litachagua Spika mpya, na Spika wa Bunge atakuwa Mwanamke.
 
Vipi kuhusu wasukuma mlivyo jazana kwenye sehemu zoote zenye ulaji ?
Ila atleast wasukuma wana utu sio kama washenzi wa Uchagani na roho zao mbaya. Wachaga wanatumiaga madaraka vibaya na kuonea watu wazi wazi. Ubinafsi ndio kipaumbele chao na ndugu zao japo sio wote kuna wachache wako smart ambao wamepiga shule na exposure ila wale waliongia katika system kwa upepo wa "KAMLETE" ndio hasa wanatuletea tabu.

Wanatuitaga vyasaka tumeishi katika mazingira ya kunyanyasika sana kipindi ya Jakaya we don't need those greedy muthafuckaz on throne!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…