Tutaupinga kwa nguvu zote bila kujali itukadi. Makabila makubwa yametupa funzo kubwa kuyaamini tena tutakuwa tunarudia kosa la marehemu.
1.Wachaga
2.Wasukuma
3.Wanyakyusa
4.Wagogo
5.Wahaya
Mtusamehe ila hatutarudia tena.
Afadhali hata wagogo ila tutajaza tu omba omba mjini
 
Kila Mtu ana uhuru wa maoni (Kwa mujibu wa katiba yetu), Ila Kimei for Vice president Big No, kwanini?

#Sipingani na uzoefu, na heshima aliyonayo Katika taaluma ya Banking, ila tunapozungumzia uongozi wa juu kabisa wa Taifa walau angehitaji kuwa na uzoefu wa kuendesha serikali ili ajue changamoto zake.
 
Matajiri na wafanyabiashara wengi Mwanza ni toka kaskazini
Hutaki kajinyonge
Yap,apo unadhirisha kuwa jiji la Mwanza ni la kibiashara,wa kaskazini ni watafutaji na wafanyabiashara hodari,ukiona pahala kuna matajiri wa kaskazini jua hapo kuna neema.
 
Makamu wa raisi kwa tanzania ni useless ila ungesema labda waziri mkuu
Huyu Mheshimiwa Rais katokea wapi? Ukimweka makamu bogasi ujue ndiyo Rais ajaye hivyo hatutaki mcheza vikoba wala upatu.
 
Hakuna kabila dogo wala kubwa Kama wewe ni Mtanzania.Kabila halita kulisha ila jitihada zako.Lakini kuna watu walio aminiwa wakaleta ukabila.Mi namshukuru Mwamba Ngosha kaleta adabu mjini.Hatuhitaji ukabila wa nani anatoka wapi,ila elimu yako na ujuzi ndio ukubebe.Mi natoka milimani huko kwa mapembelo ila napumua nchi za watu.Mkicheza wakinga tunaatibua dansi na mzizi 😂 😂 😂 😂
 
wanajukwaa ndio mnaleta ukabila..kimei ni bonge la mzungu ingawa mtoto wake alifunga ndoa kwenye mwendokasi
 
Mwanza sio wasukuma pekee wameijenga.Hata mikoa yote Tanzania sio wazawa wameijenga.Mwanza kuna makabila mengine ya mtu mmoja mmoja yanaendesha mji,hii ni mikoa yote Tz
 
Hamjajazana eeh.. ngoja tutakapoanza kusafisha system ndo mtajua hamjui.
Wewe angalia zile kesi za mafisadi umewasikia hata wafipa au wanyamwezi? Ni wao tu ukienda kuomba mkopo unabambikiwa humo humo na mkopo usio julikana
 
Mwanza sio wasukuma pekee wameijenga.Hata mikoa yote Tanzania sio wazawa wameijenga.Mwanza kuna makabila mengine ya mtu mmoja mmoja yanaendesha mji,hii ni mikoa yote Tz
Ww acha polojo kwanza sisi wenyewe ni wachapa kazi ndo maana harafu tuko wengi sana angalia popote dunia nchi yenye population kubwa ndo inawatu wajanja janja km nigeria china na india ila huku bongo wanaona wasukuma ni mafala ila nenda kila sekta unakuta wapo wanakimbiza ile mbaya ww nenda hata kkoo pale uone walivo wengi wanafanya biashara nenda mbeya huko uone wanavolima kila sekta tumejaa kwa hiyo ukae ukijua msukuma si wa mchezo ww Umeona hata Hayati alivo ingia ikulu ilikua kazi kazi sio unafiki.
 
Sileti porojo,naongea ukweli.Sema hii fake profile nayo ina saidia.Mwanza kuna watu nawajua na ndugu,ni wakubwa kwenye biashara kuliko hao watu wako.Anyway sipo Tz sahiz kiongoz
 
Kama msukuma kaingia ikulu kwann kimei ashindwe ? Msukuma angeiweza CRDB?
Nakwambia msukuma ni sifa tu hata kuongea kwenyewe Kiswahili hawajui [emoji3][emoji3][emoji3], (watani zangu) lakini angekuwa ni mchaga tungeona mengi nakubaki midomo wazi
 
Sifa zooooote ulizommwagia zinaonesha kuwa hafai kuwa kiongozi wa nchi
 
Nakwambia msukuma ni sifa tu hata kuongea kwenyewe Kiswahili hawajui [emoji3][emoji3][emoji3], (watani zangu) lakini angekuwa ni mchaga tungeona mengi nakubaki midomo wazi
mchaga angeuza nchi,bora trudi kwa makabila madogo 😂 😂
 
Hebu nipe statistics za kwamba Wachaga wamekula shule kuzidi makabila yote Tanzania
Wachaga mnawakuza wenyewe ila wapo wengi tu wamechoka wamepigika mbaya wengine walevi, madalali, matapeli kama makabila mengine tu.

Wapo wengi pia waliofanikiwa sana kama makabila mengine tu.
 
Ccm hawataki watawasingizia wachanga.

Na huyu pia hafai alileta wazo la vijana waseshwe veta ila watoto wake anawasomesha mambo ya finance Na banking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…