Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nakuunga mkono na mguu kabisaKama amekosekana kabisa mtu si bora nafasi hiyo iwe wazi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nakuunga mkono na mguu kabisaKama amekosekana kabisa mtu si bora nafasi hiyo iwe wazi tu.
Afadhali hata wagogo ila tutajaza tu omba omba mjiniTutaupinga kwa nguvu zote bila kujali itukadi. Makabila makubwa yametupa funzo kubwa kuyaamini tena tutakuwa tunarudia kosa la marehemu.
1.Wachaga
2.Wasukuma
3.Wanyakyusa
4.Wagogo
5.Wahaya
Mtusamehe ila hatutarudia tena.
Kila Mtu ana uhuru wa maoni (Kwa mujibu wa katiba yetu), Ila Kimei for Vice president Big No, kwanini?Wana JF
Sote humu tunaangaika kupata mtu sahihi wa kusaidiana na Rais SSH, huku tukitaka kitoona mabaki ya CCM ya zamani iliyokuwa Na malengo ya kujirundikia Mali huku ikilindana kiutawala na kufanya wanyonge tuwe maskini wa kutupwa kabla ya Rais Hayati JPM kuipangua na kuirudisha kwa wananchi. Vyeo vya kulindana na kurithishana vinaweza kurudi ikiwa hatutamchagua mwanamapinduzi wa kweli.
Dr. Charles Kimei amefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya kibiashara ya kibenki mpaka akacha urithi mkubwa wa kimaendeleo benk aliyoiongoza ikapata mafanikio. Yeye akiwa mshauri wa mwenendo wa kiuchumi aliwahi kusahihisha makosa fulani tunayopitia akataka kuletewa zengwe kabla ya kuambiwa kanusha ili alinde ugali wake kwani alikuwa anakalibia kustaafu.
Kwa udhubutu wake kusema ukweli na makosa anayoyaona kiuchumi, na alighubikwa na serikali isiyotaka ukweli, sasa ni wakati wa CCM kumchagua akatuletee maendeleo kwani hana makundi. Sisi tunachotaka ni maendeleo dhabiti ya watu na vitu sio vitu tu huku wanyonge tukisaga Lami. Angalau tukimkosa Antoni Mataka naye anafaa, Mkoa wa Simiyu ulikuwa nyuma sana na ameunyoosha, ameonyesha diplomasia makini kwa kutatua migogoro ya wafanyakazi.
Yap,apo unadhirisha kuwa jiji la Mwanza ni la kibiashara,wa kaskazini ni watafutaji na wafanyabiashara hodari,ukiona pahala kuna matajiri wa kaskazini jua hapo kuna neema.Matajiri na wafanyabiashara wengi Mwanza ni toka kaskazini
Hutaki kajinyonge
Huyu Mheshimiwa Rais katokea wapi? Ukimweka makamu bogasi ujue ndiyo Rais ajaye hivyo hatutaki mcheza vikoba wala upatu.Makamu wa raisi kwa tanzania ni useless ila ungesema labda waziri mkuu
Hakuna kabila dogo wala kubwa Kama wewe ni Mtanzania.Kabila halita kulisha ila jitihada zako.Lakini kuna watu walio aminiwa wakaleta ukabila.Mi namshukuru Mwamba Ngosha kaleta adabu mjini.Hatuhitaji ukabila wa nani anatoka wapi,ila elimu yako na ujuzi ndio ukubebe.Mi natoka milimani huko kwa mapembelo ila napumua nchi za watu.Mkicheza wakinga tunaatibua dansi na mzizi 😂 😂 😂 😂Kwasababu Wasukuma sio waongeaji na ni wastarabu ndo mnawashambulia kilakukicha!!Watu wa kusini ndo watu gani?
Ao watu wa kusini wana jiji kubwa kuzidi Jiji la Mwanza la Wasukuma?
Ao watu wa kusini wana jiji lenye mapato kuzidi Mwanza jiji la wasukuma?
Unapataje nguvu wewe mwenye kikabila kidogo kutukana makabila makubwa kama Wasukuma?
Waacheni bhaghosha,awana time na mtu wao ni kazi tu.
Mwanza sio wasukuma pekee wameijenga.Hata mikoa yote Tanzania sio wazawa wameijenga.Mwanza kuna makabila mengine ya mtu mmoja mmoja yanaendesha mji,hii ni mikoa yote TzHahahaaaa washamba mbona jiji la pili kwa ukubwa ni Mwanza mbona sio kwenu huko sikolokonyo acha wivu wa kike na ukabila hatutaki ...eti hatuna exposure nenda mwanza ukaone wasukuma walivo ijenga.sisi hatuna tabia za kujionyesha sisi ndo wazee wa kazi popote alipo msukuma yy ni kazi hata huko kwenu angalia walipo wasukuma uone kazi kazi .
Hahaaaaa utachekwa ww akina mzee shinyanga nao wametoka kaskazini ...Matajiri na wafanyabiashara wengi Mwanza ni toka kaskazini
Hutaki kajinyonge
Wewe angalia zile kesi za mafisadi umewasikia hata wafipa au wanyamwezi? Ni wao tu ukienda kuomba mkopo unabambikiwa humo humo na mkopo usio julikanaHamjajazana eeh.. ngoja tutakapoanza kusafisha system ndo mtajua hamjui.
Ww acha polojo kwanza sisi wenyewe ni wachapa kazi ndo maana harafu tuko wengi sana angalia popote dunia nchi yenye population kubwa ndo inawatu wajanja janja km nigeria china na india ila huku bongo wanaona wasukuma ni mafala ila nenda kila sekta unakuta wapo wanakimbiza ile mbaya ww nenda hata kkoo pale uone walivo wengi wanafanya biashara nenda mbeya huko uone wanavolima kila sekta tumejaa kwa hiyo ukae ukijua msukuma si wa mchezo ww Umeona hata Hayati alivo ingia ikulu ilikua kazi kazi sio unafiki.Mwanza sio wasukuma pekee wameijenga.Hata mikoa yote Tanzania sio wazawa wameijenga.Mwanza kuna makabila mengine ya mtu mmoja mmoja yanaendesha mji,hii ni mikoa yote Tz
Sileti porojo,naongea ukweli.Sema hii fake profile nayo ina saidia.Mwanza kuna watu nawajua na ndugu,ni wakubwa kwenye biashara kuliko hao watu wako.Anyway sipo Tz sahiz kiongozWw acha polojo kwanza sisi wenyewe ni wachapa kazi ndo maana harafu tuko wengi sana angalia popote dunia nchi yenye population kubwa ndo inawatu wajanja janja km nigeria china na india ila huku bongo wanaona wasukuma ni mafala ila nenda kila sekta unakuta wapo wanakimbiza ile mbaya ww nenda hata kkoo pale uone walivo wengi wanafanya biashara nenda mbeya huko uone wanavolima kila sekta tumejaa kwa hiyo ukae ukijua msukuma si wa mchezo ww Umeona hata Hayati alivo ingia ikulu ilikua kazi kazi sio unafiki.
Nakwambia msukuma ni sifa tu hata kuongea kwenyewe Kiswahili hawajui [emoji3][emoji3][emoji3], (watani zangu) lakini angekuwa ni mchaga tungeona mengi nakubaki midomo waziKama msukuma kaingia ikulu kwann kimei ashindwe ? Msukuma angeiweza CRDB?
Sifa zooooote ulizommwagia zinaonesha kuwa hafai kuwa kiongozi wa nchiWana JF
Sote humu tunaangaika kupata mtu sahihi wa kusaidiana na Rais SSH, huku tukitaka kitoona mabaki ya CCM ya zamani iliyokuwa Na malengo ya kujirundikia Mali huku ikilindana kiutawala na kufanya wanyonge tuwe maskini wa kutupwa kabla ya Rais Hayati JPM kuipangua na kuirudisha kwa wananchi. Vyeo vya kulindana na kurithishana vinaweza kurudi ikiwa hatutamchagua mwanamapinduzi wa kweli.
Dr. Charles Kimei amefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya kibiashara ya kibenki mpaka akacha urithi mkubwa wa kimaendeleo benk aliyoiongoza ikapata mafanikio. Yeye akiwa mshauri wa mwenendo wa kiuchumi aliwahi kusahihisha makosa fulani tunayopitia akataka kuletewa zengwe kabla ya kuambiwa kanusha ili alinde ugali wake kwani alikuwa anakalibia kustaafu.
Kwa udhubutu wake kusema ukweli na makosa anayoyaona kiuchumi, na alighubikwa na serikali isiyotaka ukweli, sasa ni wakati wa CCM kumchagua akatuletee maendeleo kwani hana makundi. Sisi tunachotaka ni maendeleo dhabiti ya watu na vitu sio vitu tu huku wanyonge tukisaga Lami. Angalau tukimkosa Antoni Mataka naye anafaa, Mkoa wa Simiyu ulikuwa nyuma sana na ameunyoosha, ameonyesha diplomasia makini kwa kutatua migogoro ya wafanyakazi.
mchaga angeuza nchi,bora trudi kwa makabila madogo 😂 😂Nakwambia msukuma ni sifa tu hata kuongea kwenyewe Kiswahili hawajui [emoji3][emoji3][emoji3], (watani zangu) lakini angekuwa ni mchaga tungeona mengi nakubaki midomo wazi
Humjui Kimei wewe. Mpigaji sana yule na amekula sana pesa za Crdb. Kuongoza serikali sio sawa na kumanage benki
Wachaga mnawakuza wenyewe ila wapo wengi tu wamechoka wamepigika mbaya wengine walevi, madalali, matapeli kama makabila mengine tu.Hebu nipe statistics za kwamba Wachaga wamekula shule kuzidi makabila yote Tanzania
Taarifa za ngosha kupiga hela mna ushahidi nazo?Mi mtu wa milimani Njombe huko so sifungamani na upande wowoteHizi taarifa za kula pesa za CRDB una ushahidi nazo?
Unaongelea pesa zipi? Maana taarifa ni nyingi.Taarifa za ngosha kupiga hela mna ushahidi nazo?Mi mtu wa milimani Njombe huko so sifungamani na upande wowote
Ccm hawataki watawasingizia wachanga.Wana JF