Mi ni example ya wa kinga kuwakimbiza wachaga.So haijalishi kabila,elimu wala nini,Pata right information wapi ku strike,then boom.Hata m hadzabe akipewa right info mbona anatawanya watu mjini!
lakini bado wachaga wanonekana ni threat! Yaani mtu hata awe na mali vp akikutana na mchaga wa level za chini kabisa bado atamuona kama tishio
 
Yep,nimefanya kujitambulisha watu wasijue Tanzania ni wachaga,wasukuma,wamakonde au wanyakyusa.Kuwa kuna makabila mengine pia.So maamuzi yasifanyike kikabila,Maana kuna makabila hayana wa wakilishi,yakase mee wapi?
 
sio dharau ila ni ukweli
Labda nikuelimishe ww ulie kalilishwa elimu ya vitabu ..Msukuma ni mfugaji na pia mkulima.Msukuma aliweza kufuga ng,ombe mpaka elfu 10000 kwa elimu tulio achiwa na babu zetu jinsi ya kufuga.Sasa ww unae jiona una elimu kajaribu kufuga ng,ombe hata mia ukitumia dawa zenu za kizungu uone gharama utakayo pambana nayo ila sis tumekua wafugaji miaka na miaka hiyo pia ni elimu tosha ila kwa kua mnadharau ukikuta mtu km mmsai ama msukuma kapiga rubega mnaona ni falaaaa kumbe ww ndo fara ulie acha mila yako na kuona watunza mila ni mafala.Sikatai wachaga walikua wafanya biashara ila kwa sasa wamepoteana makabila mengi yameamka sana ww ulijua kua mkinga ama muha leo anaweza nae kupambana na mchanga ....Ila yote tuache ukabila tujenge nchi yetu haya mambo ya kudharau kabila furani ni mbaya sana ndo maana hata wachaga watu wameanza kuwadharau manapokaa mnajimwambafai sana kumbe watu wanawachora tu.
 
Akiwa DP itampa nafasi nzuri ya kumshauri Raisi kwenye masuala ya kiuchumi.
Anafit pia kwenye Uwaziri wa:-
FEDHA;
VIWANDA NA BIASHARA;
(au) hata kuwa GOVERNER (BOT).
Uwaziri wa fedha wa nchi gani? Kwenye fedha sehemu yeyote hatufai
 
Yep,nimefanya kujitambulisha watu wasijue Tanzania ni wachaga,wasukuma,wamakonde au wanyakyusa.Kuwa kuna makabila mengine pia.So maamuzi yasifanyike kikabila,Maana kuna makabila hayana wa wakilishi,yakase mee wapi?
Siasa zetu za Tanzania hasa mitandaoni ndo zinaleta ukabila hasa kwa watu walioshindwa siasa.
Mapungufu ya mtu binafsi wanatukana kabila zima la uyo mtu.
Mwanadamu akosi mapungufu hata awekabila gani.
Wafuasi wa chama cha siasa wakitukana Wasukuma ivi unadhani wasukuma wataunga mkono icho chama?
 
sasa kama ni hivo kwanini bado chuki ipo??
Kwanza nikuambie kitu msukuma sio mtu wa chuki ww nenda mwanza,shinyanga,simuyu ukaone unavoishi hata wacahaga wako huko tunaishi nao poa tu ila sasa msukuma aende uchagani akafungue duka wanapita kwenda kwa mchaga mwenzao ila sisi hatuna chuki na mtu km wazaramo ndo maana Mwanza ikawa jiji la pili kwa ukubwa maana sisi hatuna ukabila.
 
Na hapo ndio ilipo point yangu. Unadhani watu wa huko milimani wanajua Tanzania nzima? Ni kuwa wanajua wale watu wanao intaract nao tu. Point yangu ni kuwa mtu wa milimani huko kama akishika madaraka aka behave kama mtu wa mlimani, watu wengine pia wasishangae. Maana wa milimani hawakushangaa wao wanavo bi have kama wachaga, wanyakyusa, wasukuma and so,so
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…