Naungana na wewe"kabila kubwa lisituletee ishu zao"naungana na wewe ukabila auna maana ima liwe kabila kubwa ama dogo,kabila kubwa sio kigezo cha kukuza uchumi wa nchi wala maendeleo.
Ila ukweli ni kwamba yapo makabila makubwa na madogo,sio Tanzania tu nchi nyingi za Africa hii kitu ipo.ni swala la nature auwezi kupingana na nature ya mambo jinsi yalivyo bwashee.
Hata wewe kuna comment umejitambulisha kwa kabila lako na asili yako ulipotokea,ukujitambulisha wewe kama mtanzania.
Ukweli wa mambo uwezi kuukwepa.