Kitendo cha kumuwazia Bashiru tu kwenye hiyo nafasi tayari wewe mwenyewe si mtu sahihi
 
Umakamu wa Rais ni cheo kisicho na nguvu yeyote kikatiba.
Wampe hata babu tale tu inatosha au gwajima.
 
Utampelekesha mkeo bwana mdogo 😁 af kuwa na adabu kidogo maana unaowaheshimu wananitambua.
 
Huyu jamaa ilibidi awe PM au waziri wa fedha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…