Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Makamu wa rais hatoki ktk watu waliochaguliwa ubunge
Makamu wa Rais atakuwa "Mgogo" yule mwana-ccm anayechukiwa zaidi na wapinzani, alikuwa karibu sana na marehemu JPM.

Watamchagua huyo, licha ya mambo mengine ni kuiendeleza Dodoma kuwa Makao Makuu pale alipoishia JPM.

Baada ya yeye kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais, Bunge litachagua Spika mpya, na Spika wa Bunge atakuwa Mwanamke.
 
Haiwezekani na wala haiingii akilini hata kwa mtu asie na akili kwamba kwenye watu milioni 60, basi wachaga ndio wenyewe tu wenye sifa za kuajiriwa bank, hii wala haitawezekana.

Kwenye watu 60m, wachaga ni ama mkoa wote wa Kilimanjaro tuchukulie wote ni wachaga, kwa sasa tuwape maximum estimate ni 2m, sasa 2m/60m ni 3.3%.

Unataka kusema kwa watu 60m, 97% hawana sifa za kuajiriwa bank ila 3% ndio wenye sifa pekee za kuajiriwa bank?

Bottom line is, wachaga ni wakabila na wabinafsi.
Mm mbona huwa siwaoni hao wachaga waliojazana huko CRDB? Nyie mnawatambuaje?
 
Matajiri na wafanyabiashara wengi Mwanza ni toka kaskazini
Hutaki kajinyonge
Hahahaaaa washamba mbona jiji la pili kwa ukubwa ni Mwanza mbona sio kwenu huko sikolokonyo acha wivu wa kike na ukabila hatutaki ...eti hatuna exposure nenda mwanza ukaone wasukuma walivo ijenga.sisi hatuna tabia za kujionyesha sisi ndo wazee wa kazi popote alipo msukuma yy ni kazi hata huko kwenu angalia walipo wasukuma uone kazi kazi .
 
Humjui Kimei wewe. Mpigaji sana yule na amekula sana pesa za Crdb. Kuongoza serikali sio sawa na kumanage benki
 
Hatuwezi kuwaepuka kwani katika society zao 70% wanaelimu na wanahitajika katika Nyanja mbali mbali. Ma kabila mengi wenye elimu ni 30-50% ya kabila zima.
Takwimu yako mama yangu imekaa kama ramli za mganga wa kienyeji
 
Umakamu wa wapi au wanyumbani kwako? Ile sio Sacco's tunafanya upatu , tunavyoongea hivi makamu watakuwa walishampata, sie tunatoka jasho la ufizi tu watu walisha anza kupiga kazi
 
Pole yako,yanayoendelea sasa hivi huko BOT yanafanywa na Wachagga,pia kwanini huyo Marehemu hakuwa muwazi kwenye matumizi ya pesa za Uma kuhusu miradi mbalimbali mpaka ikafikia hatua ya kumtusha CAG na pia kwanini apendelee alipotoka kujenga miradi ya mabilioni?
Kwani uajua Tanzania kuna maeneo hayana lami wala umeme hadi mwaka huu?Ukiwa na akili utaelewa
 
Wana JF

Sote humu tunaangaika kupata mtu sahihi wa kusaidiana na Rais SSH, huku tukitaka kitoona mabaki ya CCM ya zamani iliyokuwa Na malengo ya kujirundikia Mali huku ikilindana kiutawala na kufanya wanyonge tuwe maskini wa kutupwa kabla ya Rais Hayati JPM kuipangua na kuirudisha kwa wananchi. Vyeo vya kulindana na kurithishana vinaweza kurudi ikiwa hatutamchagua mwanamapinduzi wa kweli.

Dr. Charles Kimei amefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya kibiashara ya kibenki mpaka akacha urithi mkubwa wa kimaendeleo benk aliyoiongoza ikapata mafanikio. Yeye akiwa mshauri wa mwenendo wa kiuchumi aliwahi kusahihisha makosa fulani tunayopitia akataka kuletewa zengwe kabla ya kuambiwa kanusha ili alinde ugali wake kwani alikuwa anakalibia kustaafu.

Kwa udhubutu wake kusema ukweli na makosa anayoyaona kiuchumi, na alighubikwa na serikali isiyotaka ukweli, sasa ni wakati wa CCM kumchagua akatuletee maendeleo kwani hana makundi. Sisi tunachotaka ni maendeleo dhabiti ya watu na vitu sio vitu tu huku wanyonge tukisaga Lami. Angalau tukimkosa Antoni Mataka naye anafaa, Mkoa wa Simiyu ulikuwa nyuma sana na ameunyoosha, ameonyesha diplomasia makini kwa kutatua migogoro ya wafanyakazi.
Mbunge kuwa DP .... sidhani
 
Upo sahihi,hawa jamaa sio,,Crdb imejaa wachaga
Na ndiyo maana walioswagwa mahakamani kwa uwizi uwizi ni wachaga, na huko kanda yao pesa za bank zilikuwa zinakwapuliwa haswaa!
 
Back
Top Bottom