Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Wana JF

Sote humu tunaangaika kupata mtu sahihi wa kusaidiana na Rais SSH, huku tukitaka kitoona mabaki ya CCM ya zamani iliyokuwa Na malengo ya kujirundikia Mali huku ikilindana kiutawala na kufanya wanyonge tuwe maskini wa kutupwa kabla ya Rais Hayati JPM kuipangua na kuirudisha kwa wananchi. Vyeo vya kulindana na kurithishana vinaweza kurudi ikiwa hatutamchagua mwanamapinduzi wa kweli.

Dr. Charles Kimei amefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya kibiashara ya kibenki mpaka akacha urithi mkubwa wa kimaendeleo benk aliyoiongoza ikapata mafanikio. Yeye akiwa mshauri wa mwenendo wa kiuchumi aliwahi kusahihisha makosa fulani tunayopitia akataka kuletewa zengwe kabla ya kuambiwa kanusha ili alinde ugali wake kwani alikuwa anakalibia kustaafu.

Kwa udhubutu wake kusema ukweli na makosa anayoyaona kiuchumi, na alighubikwa na serikali isiyotaka ukweli, sasa ni wakati wa CCM kumchagua akatuletee maendeleo kwani hana makundi. Sisi tunachotaka ni maendeleo dhabiti ya watu na vitu sio vitu tu huku wanyonge tukisaga Lami. Angalau tukimkosa Antoni Mataka naye anafaa, Mkoa wa Simiyu ulikuwa nyuma sana na ameunyoosha, ameonyesha diplomasia makini kwa kutatua migogoro ya wafanyakazi.
He he heeee jamani mmetuamsha tuliopotea jukwaani sababu tuliamua kukaa kimya. Hivi kweli muwape wachaga umakamu? Haiwezi tokeaaaaa sahauni kabisa mnataka mtuibie?
 
Wana JF

Sote humu tunaangaika kupata mtu sahihi wa kusaidiana na Rais SSH, huku tukitaka kitoona mabaki ya CCM ya zamani iliyokuwa Na malengo ya kujirundikia Mali huku ikilindana kiutawala na kufanya wanyonge tuwe maskini wa kutupwa kabla ya Rais Hayati JPM kuipangua na kuirudisha kwa wananchi. Vyeo vya kulindana na kurithishana vinaweza kurudi ikiwa hatutamchagua mwanamapinduzi wa kweli.

Dr. Charles Kimei amefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya kibiashara ya kibenki mpaka akacha urithi mkubwa wa kimaendeleo benk aliyoiongoza ikapata mafanikio. Yeye akiwa mshauri wa mwenendo wa kiuchumi aliwahi kusahihisha makosa fulani tunayopitia akataka kuletewa zengwe kabla ya kuambiwa kanusha ili alinde ugali wake kwani alikuwa anakalibia kustaafu.

Kwa udhubutu wake kusema ukweli na makosa anayoyaona kiuchumi, na alighubikwa na serikali isiyotaka ukweli, sasa ni wakati wa CCM kumchagua akatuletee maendeleo kwani hana makundi. Sisi tunachotaka ni maendeleo dhabiti ya watu na vitu sio vitu tu huku wanyonge tukisaga Lami. Angalau tukimkosa Antoni Mataka naye anafaa, Mkoa wa Simiyu ulikuwa nyuma sana na ameunyoosha, ameonyesha diplomasia makini kwa kutatua migogoro ya wafanyakazi.
Dah hebu tupumzisheni kidogo, yani umtoe msukuma uingize mangi jamani mapema hivi hata hatujapumua khaaaa 😃 mtuache kidogo
 
Hao wachaga waliokotwa kujazwa crdb? Au waliomba kwa sifa stahiki wakati nyie mkiwa mnarina asali maporini hamtaki kusomesha watoto?
Kwahiyo wachaga ndio unawaona wasomi sana? Wengi wamezidiwa maarifa ya shule ila wanapeta tu maofisini sababu ya kubebana. Mchaga anaweza asiwe na vyeti vizuri ila kukiwa na mtu wa kumbeba tu kwenye system anapeta tu.
 
Wana JF

Sote humu tunaangaika kupata mtu sahihi wa kusaidiana na Rais SSH, huku tukitaka kitoona mabaki ya CCM ya zamani iliyokuwa Na malengo ya kujirundikia Mali huku ikilindana kiutawala na kufanya wanyonge tuwe maskini wa kutupwa kabla ya Rais Hayati JPM kuipangua na kuirudisha kwa wananchi. Vyeo vya kulindana na kurithishana vinaweza kurudi ikiwa hatutamchagua mwanamapinduzi wa kweli.

Dr. Charles Kimei amefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya kibiashara ya kibenki mpaka akacha urithi mkubwa wa kimaendeleo benk aliyoiongoza ikapata mafanikio. Yeye akiwa mshauri wa mwenendo wa kiuchumi aliwahi kusahihisha makosa fulani tunayopitia akataka kuletewa zengwe kabla ya kuambiwa kanusha ili alinde ugali wake kwani alikuwa anakalibia kustaafu.

Kwa udhubutu wake kusema ukweli na makosa anayoyaona kiuchumi, na alighubikwa na serikali isiyotaka ukweli, sasa ni wakati wa CCM kumchagua akatuletee maendeleo kwani hana makundi. Sisi tunachotaka ni maendeleo dhabiti ya watu na vitu sio vitu tu huku wanyonge tukisaga Lami. Angalau tukimkosa Antoni Mataka naye anafaa, Mkoa wa Simiyu ulikuwa nyuma sana na ameunyoosha, ameonyesha diplomasia makini kwa kutatua migogoro ya wafanyakazi.
Siasa na taaluma ni vitu viwili tofauti.
 
Ila atleast wasukuma wana utu sio kama washenzi wa Uchagani na roho zao mbaya. Wachaga wanatumiaga madaraka vibaya na kuonea watu wazi wazi. Ubinafsi ndio kipaumbele chao na ndugu zao japo sio wote kuna wachache wako smart ambao wamepiga shule na exposure ila wale waliongia katika system kwa upepo wa "KAMLETE" ndio hasa wanatuletea tabu.

Wanatuitaga vyasaka tumeishi katika mazingira ya kunyanyasika sana kipindi ya Jakaya we don't need those greedy muthafuckaz on throne!
Wasukuma hapana... Msukuma siwezi mpa kura yangu tena. Bora nimpigie shetani kura kuliko niyapigie masuuukuma kmmk.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaaaa washamba mbona jiji la pili kwa ukubwa ni Mwanza mbona sio kwenu huko sikolokonyo acha wivu wa kike na ukabila hatutaki ...eti hatuna exposure nenda mwanza ukaone wasukuma walivo ijenga.sisi hatuna tabia za kujionyesha sisi ndo wazee wa kazi popote alipo msukuma yy ni kazi hata huko kwenu angalia walipo wasukuma uone kazi kazi .
Imebidi nicheke hapo uliposema nenda Mwanza ukaone wasukuma walivyoijenga... Kweli wewe ni kituko. Nipo Mwanza na matajiri wa Mwanza wanajulikana sana tu.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Sekta binafsi/kibeberu ni tofauti na umma/nchi. Rejea sakata la Tido Mhando na TBA
 
Itakuwa ni kosa kubwa kuliko kuiuza nchi kwa wazungu.Wachaga wana roho mbaya sana na ubinafsi mkubwa.

Wanawake watatukana sana wanaume hasa wa makabila mengine kwani wanaume watakuwa wachaga tu
Angalia CV ya Kimei na aliyoyafanya. Anafaa
 
Kimei awe Waziri wa fedha ili turudishe fedha bank maana tushaogopa na kuchukuliwa hela kwenye account zetu
 
Siasa na taaluma ni vitu viwili tofauti.
Kwani Maguti Alianza Na siasa au Alianza Na taaluma,? Mwigulu alikuwa Benjamin Sasa Ni mwanasiasa, prof. Muhongo alikuwa mwanasayansi wa mawe Kwa Sasa Ni mwanasiasa. Hata weqet kuwa hapa jg tayari mwanasiaasa
 
Back
Top Bottom