Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?
Walimu wanatakiwa waongezewe masomo ya kufundisha mpaka masomo 3..(maana yake kazi ya ualimu ni nyepesi na mazingira ya walimu ni rafiki sana pia wanachukua maslahi makubwa halafu wanapangiwa kufundisha masomo machache..)
 
Nani amekupa wazo La kujipendekeza kwa ndugai? Amekutuma?
 
Vipi we mgogo umetumwa? Au ndo wale waganga njaa aliosema Kikwete.
 
NAWAHAKIKISHIA HUYU MZEE NDUGAI NI MTU MUADILIFU A MAN OF HIS WORDS,MZALENDO,SIO FISADI, MTENDA HAKI ANAYEFATA SHERIA .
MUNGU MBARIKI SANA HUU MZEEE ANAFAA KABISA KUPATA U MAKAMU WA RAIS HUYU NEXT SHUJAA WA AFRICA.KIPENZI CHA WANYONGE....
Mzee wa fito, Mgonjwa ghali zaidi Tz, hana sifa hata moja uliyoandika hapo.
 
speaker ndugai alifanya kosa la kudhani liisu kashambuliwa akaahidi matibabu alicyogundua ni uongo akamvua ubunge huoni kama speaker ndugai ni mchapa kazi aliyetetea wanyonge dhidi ya mbunge mtoro?
 
FB_IMG_16170381458042611.jpg

Njaa kali hatari sana!

njaakalihatari
 
Mh Ndungai abaki hapo hapo bungeni watulie na Mh Tulia. Kuna kila dalili bunge kutakiwa liwe spidi gavana ya uhakika kwa maslahi ya wengi.. Ukiona fitina zote zinaelekezwa Hazina sijui Bot ndio vipa umbele hivyo basi jua wako walio noa meno tayari kutafuna. Tutawahitaji wakina Msukuma kuliko kipindi kingine chochote kile.
 
Sheitwaaaani mkubwa huyo
NAWAHAKIKISHIA HUYU MZEE NDUGAI NI MTU MUADILIFU A MAN OF HIS WORDS,MZALENDO,SIO FISADI, MTENDA HAKI ANAYEFATA SHERIA .
MUNGU MBARIKI SANA HUU MZEEE ANAFAA KABISA KUPATA U MAKAMU WA RAIS HUYU NEXT SHUJAA WA AFRICA.KIPENZI CHA WANYONGE

Kwanza Id yako tu nimecheka sasa huyo njaa Kali mwenzako ndugai hatumtaki ni mabaki ya marehemu jiwe hatufai na huo uspika atimuliwe tu
Umeona eeh?? Njaa kali hatari halafu imehamia kwenye ubongo.
 
Achana na uwezo wa ndugai

Kwako wewe bora kuwa VP kuliko kuwa speaker.

Kwani kwa sahizi ambapo hatuna VP Then Raisi akashindwa Kutekeleza majukumu yake nani anatakiwa kuwa Raisi.
 
Hii nchi ngumu sana kuiongoza...

Unaweza kuta na wewe una degree na unalalamika ajira ngumu

Back
Top Bottom