Baada ya kifo cha Waziri wa Ulinzi, ni fursa sasa ya kumtimua Mwigulu

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
Kwa namna Mwigulu alivyowakera na kuwaudhi Watanzania walio wengi na hata kusababisha kumpunguzia heshima na umaarufu Rais Samia, sasa ni wakati wa kumtimua Mwigulu kutoka Baraza la Mawaziri. Kwa kufanya hivi Rais Samia atarudisha hadhi yake mbele ya macho ya Watanzania.

Ni wazi Rais Samia atafanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la Mawaziri ili kuziba nafasi ya Kwandikwa aliyefariki jana. Hii ni fursa ambayo Rais Samia hapaswi kuacha kuitumia kwani pia haitamjengea chuki kwa ye yote kwa sababu hajasababisha kifo cha Kwandikwa!

Mwigulu must go! Atangulie yeye Burundi!
 
Mh.Rais HAPANGIWI....

Mikono yake ina utajiri wa kikatiba "presidential decree"......

#KaziIendelee
#SiempreSSH
 
Mwigullu Nchemba anaenda Ulinzi hapo fedha anakuja " mtaalamu" mmoja makini sana kutoka Vunjo!
Vunjo boy namuheshimu, apewe.
Mwigulu apelekwe mazingira akakamate magari ya mchanga, fambaf sake
 
Kwa namna Mwigulu alivyowakera na kuwaudhi Watanzania walio wengi na hata kusababisha kumpunguzia heshima na umaarufu Rais Samia, sasa ni wakati wa kumtimua Mwigulu kutoka Baraza la Mawaziri. Kwa kufanya hivi Rais Samia atarudisha hadhi yake mbele ya macho ya Watanzania.

Ni wazi Rais Samia atafanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la Mawaziri ili kuziba nafasi ya Kwandikwa aliyefariki jana. Hii ni fursa ambayo Rais Samia hapaswi kuacha kuitumia kwani pia haitamjengea chuki kwa ye yote kwa sababu hajasababisha kifo cha Kwandikwa!

Mwigulu must go! Atangulie yeye Burundi!
Subiri kidogo kuna rip nyingine kama bee hivi zinakuja kisha ndio tufanye mabadiliko
 
Back
Top Bottom