Baada ya 'Kiki' kuhamia kwenye siasa, wasanii waja na Gia nyingine

Kutunga nyimbo kwa kudandia matukio! Hawana kitu kichwani wanangojea mtukia na kuanza kuimba hawawezi kufikiri mambo ya kujenga bali kubomoa. Badala ya kuhamasisha vijana wenzao waweze kujiajiri wanakalia Nashukuru wala sijasikiliza huo wimbo kwani najua ni hopless tu mtu analala anashatuka nakuanza kuimba Ugoro!
 
Kuna hii imetoka Leo ya Bonta kamshirikisha baraka the prince inaitwa zero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…