Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
Jamani mnataka mzee wetu aseme mara ngapi kuwa sisi ni donour country
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Rais wa China alivyokuja tu bongo wkt anaondoka vyombo vya kimataifa vikaripoti aliondoka na pembe za ndovu za kutosha,hata mimi ningekua rais wa China ningekuja Bongo daily.Maisha kwa zamu Kaka. Nakumbuka jinsi jk alivyokuwa mashughuri nje ya nchi. Jk hakuwa Kiongozi wa mfano EAC tu..jk alikuwa Africa nzima. Yaani Rais wa china ameingia tu madarakani 2012 ziara ya Kwanza ameifanya Tz. Tanzania tulipokea maraisi wa 3 siku 1.. Rais Obama..na Bush one day. Jk alikuwa anaonewa Wivu hadi na wenzake Africa Mashariki. Mungu akupe maisha marefu jk..
Ameacha kulewa hadharani siku hizi?Ndie kiongozi smartest kuliko wote EAC kuanzia speech,public speaking,reasoning,speech zisizochosha,civilized mwenye exposure
Kipimo cha kuwa "kiongozi" ni kutangatanga, kujikomba, kuwa mnafiki na kuwazunguka viongozi wenzako?
Hicho kipimo cha uongozi kitakuwa na hitilafu kubwa.
"Prayer Breakfast"...hizi hizi zilimtoa kimasomaso Robert Ouko! Hivi pale Nyayo hamuwezi mkafanya breakfast na kusali hadi kufunga safari za kila mwaka?
Watu wa ajabu sana!
Hakuna mwafrika anayeweza dhibiti ufisadiAmeacha kulewa hadharani siku hizi?
Uzuri Kenyatta na ufisadi hua ni damu damu na ameshashindwa kuudhibiti.
dodge
Hakuna mwafrika anayeweza dhibiti ufisadi